Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Hawa jamaaa nafikiri distribution yao imekuww ngumu. Wafanyabiashara wengi hawapendi kuuza vocha zao kwa sababu mzunguko wake ni mdogo. Unaweza kukaa siku nzima hakuna mteja hata mmoja anaulizia vocha zao.
Nini kifanyike?
Pamoja na ushindani wa kibiashara uliopo kati ya makampuni ya simu. Lkn TTCL wanaweza kuongea na Voda/Tigo/ Airtel mtu uwe na uwezo wa kununua muda wa maongezi kwa kutumia Tigo Pesa au M Mpesa.
Kwa hiyo mtu ukiwa na Tigo pesa unaweza kununua muda wa Maongezi wa TTCL
 
TTCL wanatumia vitambulisho vya Chuo badala ya NIDA?,sijaelewa kidogo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kununua salio kutoka Tigo Pesa, M Pesa, Airtel Money na Halo Pesa kwenda T Pesa sio tatizo.
Tatizo hiyo hela kufika kule T PESA balaa ikiganda hewani utajuta
 
Mkuu kununua salio kutoka Tigo Pesa, M Pesa, Airtel Money na Halo Pesa kwenda T Pesa sio tatizo.
Tatizo hiyo hela kufika kule T PESA balaa ikiganda hewani utajuta
.. unanunua muda wa maongezi.. kwa hiyo unatumiwa number kama unavyotumiwa VOCHA za LUKU.Wewe kazi yako ni kuingiza tuu no (Kama LUKU inavyofanya kazi)
 
rudi nyumbani kumenoga..
niliwahi kwenda ofisini kwao maeneo ya kariakoo (zanzibar) kupeleka malalamiko juu ya kupatikana kwa huduma zao.
Niliambiwa ifikapo mwezi oktoba 2018 takribani maeneo yote ya zanzibar yatafikiwa na huduma ya TTCL.
leo ni febuary 2020 hakuna kilichobadilika.
nikiwa mjini natumia TTCL vizuri sana ila nikivuka mji natoa line yao naweka halotel.​
 
Vocha unanunua kwa tigo pesa.

Kwangu uko poa tu naweza jiunga siku gb 4 shilingi 1000

Labda tatizo ni kukisekana kwa network tu maeneo mengi.
 
Tembea kifua mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…