Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

Na siku akiwa mke wa dimond itamwitaje? Kichaa au ?
 
Mi sijaona shida hapo, labda hilo la kuchukia kuitwa mchungaji wakati ni mchungaji....

Mengine hamna shida kaongea uhalisia wa maisha yake, sio maisha ya watu wengine.

Kuna watu ndoa zinawarudisha nyuma kimaendeleleo (sitatoa ufafanuzi)
 
Nakuhalikishia, shusho siku moja atakuwa mpenzi wa dimaond kama zuchu
 
Anataka kumridhisha mondi tuu hamna kingine.
 
Shusho ni Malaya wimbaji na kanisa ni ngao

Sasa mlitaka aanzishe kanisa harafu abaki na mumewe wake , sisi mashababi kanisani pake angeishije nasi, harafu hatumpigi mizinga sisi showshow

Waterbreak/cooling break haipo kwetu
 
Mi huyo malaya, kitambo sana nilimsikiaga sifa zake mbofu mbofu za uasherati kufanya na wakubwa wenye madaraka Serikalini ambao wengine tayari walishajitanguliza zao mbele ya haki.

Kukaa kwake kimya kulikuwa kunamjengea heshima.

Lakini kalikoroga kwa uroporopo wake huo, umemdhalilisha na ataendelea kudhalilika sana.

Maana kwa ujumbe wake huo, kaiudhi hadhira yote mpaka ma single moms yamekasirika, si unajua tena mwizi huwa hapendi kumuona mwizi mwingine akiiba?

Hivi kujishebedua kote huko alikula maharage ya wapi?
 
Huyo niqueen Sheba reincranation..
Ana nguvu kubwa sanaa karibia nyimbo zake zote zina melody tamuuu sana hizo melody anapozichukua na anayempa ndio siri yake.

Kama harmonizer alivyokutana naye airport pasipo kutarajia alitambaa na tumbo mpaka kwenye miguu yake

Inatisha sana
 


Mnamtukana kuwa Eti ni malaya nawauliza je mmeshamkuta wapi akiwa na Mwanaume ?
Mmeshamkuta wapi akiwa na mabwana tofauti tofauti ?
Malaya ni mtu mwenye Mpenzi zaidi ya mmoja,
Je nyie mmeshamkuta na wanaume wangapi hadi mumwite malaya?

Acheni mambo yenu.

Mnamhukumu Mtumishi wa Mungu kiasi hicho. ?!
Haifai. Nyie wenyewe mna yenu chungu nzima ambayo Pengine yeye hawafikii hata robo ya maovu yenu.
 
Kuta zinaficha mambo mengi, huwezi jua Pengine kaona asiseme mengi ilo kusitiri mwenzie,
Au mlitaka aseme kila kitu kwenye media?
Mfano iwapo kuondoka kwake ndio salama yake mnajuaje?
Au kama iwapo jamaa amekuwa impotence gafla mlitaka aseme kwenye media?
N.k

Maisha ni zaidi ya kuishi ndoani.

Kusudi la kuletwa Duniani sio ndoa pekee.

BTW Imeandikwa; “ mbinguni hakunaga kuoa wala kuolewa”
Ndoa ni mambo ya hapa Duniani tu.
Kwa ni jambo la muda mfupi la kupita tu.
 


If you can’t change it accept it.

Yatupasa kuheshimu maamuzi yake.

Tusimnenee Mtumishi wa Mungu Maneno yasiyofaa ambayo hata tukiambiwa tuyathibitishe hatutaweza.
 


She is 100% responsible for her life.

She is the CEO of her life.

She can hire , fire , promote or demote any person in her life.

Asomaye na afahamu.
 


Kumbe ndio maana wanawake wengi wanang’ang’ania kuishi kwenye ndoa kiasi cha kuhatarisha uhai wao, wengine kutesa kwa vipigo , ngeu, ulemavu n.k kwa kuogopa wakiachika watadhalilika kama hivi mnavyomsakama mwanamke wa watu.
Imagine!
Kama jamii tubadilishe mitazamo yetu juu ya jambo hili.
 


Ni kweli Imeandikwa kuwa Mungu anachukia kuachana lakini hajakataza kuachana.
Kuchukia kuachana haina maana kuwa amekataza kuachana.

Maisha ya wanawake wengi yangeweza kuokolewa wasiuliwe na wenza wao iwapo jamii tutabadili mitazamo yetu na kuangalia usalama kwanza, uhai kwanza.
 
Unajua kusudio la ndoa haswa kijamii kabla ya kwenda kweny dini?

Mtu ukiwa sexually active either uliwahi kudate huko nyuma huwezi kuacha hata uwe na miaka 60 ...Labda upotezo uwezo wa kihisia wa hamu ya tendo la ndoa .

Huyo alishakuwa mtu wa kufanya hayo mambo sio rahisi kuacha ,ndio maana ndoa inazuia kabisa huo uasherati lazima apate hamu na ndio atatembea na mtu yoyote yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…