Boda alikuwa speed zaidi 100Mbona gari imeharibika sana licha ya kuwa na ngao?
apumzike salama ila hawa wapumbavu wanapenda pikipiki inaitwa sinoray 180 timing chain alooo zinapotea kama upepo kugonga speed 200 ni kawaida sasa hapo kwa gari kuharibika hivyo speed aliyokuwa nayo marehu sio ya kitoto...... boda sijui wapewe elimu gani kila siku wanakwenda kuzika wenzao ila bado wanakomaa na maspeed ya kijingaView attachment 2946552
Imetokea jana huko mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu.
Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanga kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla.
Kwa muonekano huo wa gari hadi kukunjika bodi na vyuma, unaweza kuhisi ni spidi aina gani afisa usafirishaji alikuwa nayo.
kwa hawa boda wetu huenda hana kosa ila ndio hivyo naye speed alikua nayo kaliWataalamu wa vipimo mnasemaje, nani alikua na kosa.
transport officer alikua nduki kuu ukiona hivyoMbona gari imeharibika sana licha ya kuwa na ngao?