kadefeghe JF-Expert Member Joined Apr 21, 2012 Posts 456 Reaction score 668 Apr 11, 2024 #81 Kama n kweli hii n bonge mojaa la pichaa..Kama ngao ya cruiser imepigwa ivo daah..Ila R.I.P alotangulia
Kama n kweli hii n bonge mojaa la pichaa..Kama ngao ya cruiser imepigwa ivo daah..Ila R.I.P alotangulia
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Apr 12, 2024 Thread starter #82 Accumen Mo said: Unaweza kucheka dah! Click to expand... Kweli unaweza kucheka kutokana na aina ya ajali ka hiyo ila uzembe wa hawa vijana ni sehemu kubwa ya madhira haya.
Accumen Mo said: Unaweza kucheka dah! Click to expand... Kweli unaweza kucheka kutokana na aina ya ajali ka hiyo ila uzembe wa hawa vijana ni sehemu kubwa ya madhira haya.