Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

Ni mafuta kutoka tenki la pikipiki.
Alafu hivi wachangiaji mnaona gari lipo lane gani? Kwa akili zenu huyo boda na hilo gari nani yupo upande wake ???
Gari hayuko upande wake na hii hutokea sana gari wanahama upande tena ghafla wanasababisha ajali analaumiwa boda
Binafsi natumia usafiri wa pikipiki na wenye magari huwa Wana hila sana dhdi ya pikipiki
 
Aisee
Hii ajali inaonesha kiwango cha kasi ya hiyo bodaboda. Afisa Usafirishaji alikuwa full maxmum speed hadi akakopa.
Inaonesha gari haikuwa speed sana au sivyo impact ingekuwa severe

NAsikitika tumepoteza Mtanzania na mlipakodi
 
Minjingu upo manyara na si arusha
Hakuna gari zinatemmbea mwendo wa ki staarabu kama hizo cruiser za watalii
 
Huyo mwenye gari akaingia lane ya boda boda.yaani Alibana mno lane ya boda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…