Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

Hiyo gari ingekuwa speed kama ya pkpk isingesimama hapo, ingekutwa porini tayari nayo.
 
Boda yupo upande wake Ila huyo wa gari akahama lane akaja kwa boda lane
Angalia vzuri mkwaruzo nyuma ya gari, means gari baada ya kugonga iliburuza hiyo pikipiki mita kadhaa, angalia historia/chanzo ya tukio lilikotokea kwa kuangalia nyuma ukiangalia nyuma utaona gari ilimchapa Boda ikiwa mahala pake aidha alikua ana overtake na kuhama kwa hiyo gari ni matokeo ya kugonga. Hii ni kwa mujibu wa kusoma picha, naweza kuwa siko sahihi pia maana sikuona tukio.
 
Kuna watu wengi sana hawawezi kuielewa hii picha kiundani, kwamba mwenye makosa ni dereva wa gari.
 


Yani kapindisha Bull bar ya hard top na radiator?
 
Unajua sijaelewa,kwa hiyo hapo kwenye ajali dereva wa hiyo Hard Top Land Cruiser alirushwa kwenye carrier juu akafa na boda akaingia mvunguni?

Au ni abiria wa pikipiki alirushwa hapo kwenye carrier?
Walikuwa wanashindana wawili. Jamaa wa gari alikuwa na wageni. Kuona vile akasimama wenyewe wakaja kutua kwenye gari. Mambo ya Arachuga hayo
 
CCM inataka kuwamaliza waendesha boda boda kwa ajali wananchi tunashauri waondolewe barabarani CCM inasema ni wapiga kura wetu
 
Vijana wa Arusha na ushoga wao wakuendesha bodaboda kwa sifa na speed ndio matokeo hayo wanakufa kisengerema...
Sawa tu ndio maisha waliochagua acha wazikane
 
Kuna mkwaruzo nyuma ya gari kuonyesha ametoka na wahanga kwenye site yake mpaka hapa iliposimamia.

Gari haikuwa site hii,imehamishwa na tukio.
 
CCM inataka kuwamaliza waendesha boda boda kwa ajali wananchi tunashauri waondolewe barabarani CCM inasema ni wapiga kura wetu
Hilo jina (waendesha bodaboda) halipo mkuu chama kimewapa jina/cheo kikuu AU!.
 
Bodaboda ndo wanaongoza Uvunjifu wa Sheria Barabarani Kwenye Bams kasi kama yote Ukivuka anavuka na wewe, Wanapovunjika mkono malizieni na mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…