Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

Apo afisa usafirishaji alikua kibati akakutana na land cruser imeovatake mwendo wa ngiri mkia juu wakalambana ila lawama kabebeshwa afisa usafirishaji wakati mwenye makosa ni wa gari.... alisikika chalii wa r akisema
 
Tunaweza kutoa maoni ya kila namna ila ijulikane tokeo la mwanadamu yoyote juu ya ardhi hii sio la bahati mbaya, kwa maana hio hakuna yoyote ambae hana thamani kati ya vyote vyenye uhai.

Haidhuru ni namna gani uhai umekoma ila jema na busara ni kutoa matashi mema kwa wote wanaguswa ama kukutwa na kadhia ya namna hio.

Kwa vile uhai tumedhaminiwa na aliye tudhamini ambae ni Mungu kwa imani zetu tulio wengi, huyo Mungu amjalie roho yake mahali palipo pema, na kuwajalia ndugu jamaa na rafiki wepesi wakumaliza msiba wa ndugu yao salama na walio kuwa wategemezi wa marehemu wajaliwe pia faraja na tumaini na namna nyingine ya kufanya maisha yao.
 
Apo afisa usafirishaji alikua kibati akakutana na land cruser imeovatake mwendo wa ngiri mkia juu wakalambana ila lawama kabebeshwa afisa usafirishaji wakati mwenye makosa ni wa gari.... alisikika chalii wa r akisema
Man hebu mgee chalii mavaga ili amwage stori ilivyokuwa aiseee, ukute wanazi wanalonga ulongo tu hapa uwanjani 😃!.
 
Magufuli ndo wakulaumiwa.
 
Hii gari ilikuwa aje iko upande wa warudio?
 
kwamba iyo ngao hapo mbele ya cruser imepinda kabisa, kumbe ni laini tu? yote katika yote, Biblia inasema "heri wafu wafao katika Bwana asema Roho maana matendo yao watafuatana nayo". Tunaishi tu, ila kama twaishi basi tuishi kwa Bwana na kama twafa basi tufe katika Bwana. Ukifa ukiwa umeokoka una heri, utaenda uzimani, ukifa bila kutengeneza mambo yako na Mungu ni motoni moja kwa moja.
 
Hakuna haja ya kusikitika.
Pogezi kijana, mwendo umeumaliza
 
Ona na hii..
 

Attachments

  • IMG-20240410-WA0015.jpg
    189.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…