Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe msukuma unashangaa nini? Acheni kuwavalisha kengele ng'ombe wenu, anzeni kuwavalisha heleni !!Bei ya ng'ombe inapanda kwa hereni?
Nimecheka sana 😂😂Wewe msukuma unashangaa nini? Acheni kuwavalisha kengele ng'ombe wenu, anzeni kuwavalisha heleni !!
Maana mabaharia tunataka kutathmini uchapa kazi wa mh. DED....😁😁 Mfuate kule instagram mkuu
Nilibahatika Siku moja Kukutana nae Kawe akiwa anatokea NIDA na katika Mazungumzo yetu akajitambulisha kuwa ni mwana CCM na yuko UVCCM.View attachment 2232603
Nawasalimu kwa jina la JMT,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki,
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi,
Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi kwenye halmashauri ya Malinyi kwaajili ya kununua mifugo,
Awali sikuwa na kumbukumbu ni nani Mkurugenzi wa wilaya ya Malinyi inayoonekana kupiga hatua za kimaendeleo kwa kasi sana nadhani hili wote tuliofika Malinyi mtakubaliana na Mimi,
Nilipodadisi kutaka kumjua,mkurugenzi wa hapa ni nani nikaambiwa anaitwa Joanfaith,
Nilipo -google kutaka kumjua huyo Joanfaith nikakuta kumbe ni yule binti mdogo mrembo uteuzi wake uliyezua mijadala mikali mitandaoni,
Regardless umri wake huyu dada ni kiongozi mahiri sana,na Rais hakukosea kumteua nimeridhika,
Baadhi ya mambo yaliyonifurahisha toka kwa Mkurugenzi huyu ni haya,
1. Nimeshangaa kuona mifugo ya Malinyi inavishwa hereni ( eartags ) bora kabisa kama zile nilizowahi kuziona USA miaka 2016,
Hili limenivutia sana ndio maana nikamwona dada huyu anastahili kuwa juu zaidi ya hapa,
Mkoa mzima ni yeye peke yake na eartags,
Wale tuliofanya biashara ya nyama nje ya nchi tunafahamu huwa tunanunua ng'ombe Tanzania na kuwapeleka Uganda na kuwawekea hizo eartags then tunawauza nje kwa bei ambayo ni maratano zaidi,
Iko hivi, Nikinunua ng'ombe hapa Tanzania kwa shilingi milioni moja asiye na eartag ukimpeleka Uganda na kumuweka eartag unamuuza nje kwa zaidi ya shilingi milioni nne za Tanzania,
Kitendo cha huyu dada kuamua kuweka mifugo yake hereni amenisaidia sana Mimi kama mfanyabiashara wa ng'ombe wa kimataifa,
Sasa nitanunua ng'ombe hapa Malinyi na kuwauza moja kwa moja kwa wateja wangu walioko nje ya nchi, hapa lazima niseme huyu dada ni Mkurugenzi bora kabisa,
Kama kuna mtu wanamalinyi hasa wafugaji wanaweza kumshukuru basi ni huyu dada Joanfaith,
Huenda tukaanza kushuhudia ng'ombe anauzwa hadi milioni tatu hapa hapa Malinyi,
2. Ujenzi wa ghorofa kwaajili ya Halmashauri ya Malinyi, yaani she is doing wonders aise, njooni Malinyi na ninyi mjionee haya ninayoyasema,
3. Kamaliza migogoro ya makulima na wafugaji kabisa hapa,
Natamani halmashauri zingine nao waamke, mkoa mzima wa Morogoro ni huyu binti tu kanifurahisha zaidi hasa kwa Eartags,
Hongera dada mzuri kwa kazi nzuri sana ya kuwasaidia wafugaji na wananchi wako wa Malinyi,
===
Hongera RC,
Hongera RAS,
Hongera DC,
Hongera DAS,
Kama mpaka wewe umemkubali, Mimi ni nani?Nilibahatika Siku moja Kukutana nae Kawe akiwa anatokea NIDA na katika Mazungumzo yetu akajitambulisha kuwa ni mwana CCM na yuko UVCCM.
Kusema ukweli kwa Urembo alionao na unaoendana na Uwezo wake mkubwa wa Akili ( Intelligence ) alionao mwanzoni nilitamani Kumtongoza ila nilipoigundua tu IQ yake ilivyo Kubwa nikaufyata na kuwa Mpole kwani nina 'Allergy' ya Kutongoza Wanawake 'Geniuses' kama Yeye ila nawapenda hawa Niliotukuka nao ambao hawana Akili na unawapeleka utakavyo tu.
Na cha Kufurahisha zaidi huyu Dada hajaingia katika Siasa kwa Njaa au kutafuta Hela kwani pia ni Mtoto wa Kishua ( Kitajiri ) kweli kweli. Kwa hizi Sifa ( Kongole ) zote ulizompa nakubaliana nawe 100% na nitoe RAI kwa CCM wamtunze Kimaadili na Kiutendaji, ila siyo 'Kingono' kwani ni Hazina Kubwa mno kwa Uongozi kwa Siku chache zijazo ukizingatia ameanzia Ngazi za chini kabisa ndani ya Chama.
Mfano ni wapi mkuu?Kuvalisha ng'ombe herein siyo mkakati wa mkurugenzi huo. Hili ni agizo la nchi nzima na linafanyika kote!
Bosi hebu tuelimishe huu mfumo wa hereni unavyoongeza thamani, na kama tag zinaongeza thamani kwanini halmashauri hazifanyi hivyo au ugumu uko wapi kuweka hiyo system, na vipi nyie wafanayabishara binafsi kwani hamuwezi implement hiyo system bila kusubiri serikali maana inaonekana faida ni kubwa sana au ugumu uko wapi kwa watu binafsi? tuelimisheNimezungumzia ninachokifahamu,
Utakuwa humfahamu vizuri wewe. Niishie tu hapo na kingine ninachojua kiumri kalingana na Jokate na yupo single kama Jokate.Nilibahatika Siku moja Kukutana nae Kawe akiwa anatokea NIDA na katika Mazungumzo yetu akajitambulisha kuwa ni mwana CCM na yuko UVCCM.
Kusema ukweli kwa Urembo alionao na unaoendana na Uwezo wake mkubwa wa Akili ( Intelligence ) alionao mwanzoni nilitamani Kumtongoza ila nilipoigundua tu IQ yake ilivyo Kubwa nikaufyata na kuwa Mpole kwani nina 'Allergy' ya Kutongoza Wanawake 'Geniuses' kama Yeye ila nawapenda hawa Niliotukuka nao ambao hawana Akili na unawapeleka utakavyo tu.
Na cha Kufurahisha zaidi huyu Dada hajaingia katika Siasa kwa Njaa au kutafuta Hela kwani pia ni Mtoto wa Kishua ( Kitajiri ) kweli kweli. Kwa hizi Sifa ( Kongole ) zote ulizompa nakubaliana nawe 100% na nitoe RAI kwa CCM wamtunze Kimaadili na Kiutendaji, ila siyo 'Kingono' kwani ni Hazina Kubwa mno kwa Uongozi kwa Siku chache zijazo ukizingatia ameanzia Ngazi za chini kabisa ndani ya Chama.
mkuu upoAhsante kwa taarifa...
SOMA HII HABARI HAPA CHINI KWA MUJIBU WA MALUNDE 1 BLOG:Mfano ni wapi mkuu?
MashindanoSOMA HII HABARI HAPA CHINI KWA MUJIBU WA MALUNDE 1 BLOG:
Ng'ombe 6270 wametambuliwa kwa njia ya Kuvishwa Hereni za kielektroniki katika kijiji cha Kitosi Wilayani,Nkasi Mkoa wa Rukwa.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki kwenye, Mkutano na wafugaji katika Kijiji cha Kitosi mara baada ya kushiriki katika zoezi la uwekeji herenikatika kijiji hicho.
Waziri Mashimba amesema kuwa zoezi la utambuaji wa Mifugo linatekelezwa nchini kote na kwa sasa tumeanza na mikoa ya Mfano ambayo ni Rukwa ,Katavi , na Kigoma.
Amesema zoezi hili limeanza Katika kijiji cha Kitosi Wilaya ya Nkasi na tangu zoezi hili limeanza zaidi ya ng'ombe 6270 tayari wameisha tambuliwa kwa kuvishwa hereni katika kiji hicho.
Amesema zoezi hili nimuhimu kwa kuwa linaongeza thamani ya Mifugo ya wafugaji katika Masoko na kusaidia kufuatilia ubora wa mazao yanayo zalishwa na Mifugo iliyotambuliwa kwa njia ya hereni
Kwa hoja zako ni dhahiri hujawahi kufanya biashara ya kuuza ng'ombe nje ya nchi....sekta ya mifugo nchini inahitaji mageuzi makubwa na sio eartag ili kufikia walipo wenzetu kama Botswana.View attachment 2232603
Nawasalimu kwa jina la JMT,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki,
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi,
Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi kwenye halmashauri ya Malinyi kwaajili ya kununua mifugo,
Awali sikuwa na kumbukumbu ni nani Mkurugenzi wa wilaya ya Malinyi inayoonekana kupiga hatua za kimaendeleo kwa kasi sana nadhani hili wote tuliofika Malinyi mtakubaliana na Mimi,
Nilipodadisi kutaka kumjua,mkurugenzi wa hapa ni nani nikaambiwa anaitwa Joanfaith,
Nilipo -google kutaka kumjua huyo Joanfaith nikakuta kumbe ni yule binti mdogo mrembo uteuzi wake uliyezua mijadala mikali mitandaoni,
Regardless umri wake huyu dada ni kiongozi mahiri sana,na Rais hakukosea kumteua nimeridhika,
Baadhi ya mambo yaliyonifurahisha toka kwa Mkurugenzi huyu ni haya,
1. Nimeshangaa kuona mifugo ya Malinyi inavishwa hereni ( eartags ) bora kabisa kama zile nilizowahi kuziona USA miaka 2016,
Hili limenivutia sana ndio maana nikamwona dada huyu anastahili kuwa juu zaidi ya hapa,
Mkoa mzima ni yeye peke yake na eartags,
Wale tuliofanya biashara ya nyama nje ya nchi tunafahamu huwa tunanunua ng'ombe Tanzania na kuwapeleka Uganda na kuwawekea hizo eartags then tunawauza nje kwa bei ambayo ni maratano zaidi,
Iko hivi, Nikinunua ng'ombe hapa Tanzania kwa shilingi milioni moja asiye na eartag ukimpeleka Uganda na kumuweka eartag unamuuza nje kwa zaidi ya shilingi milioni nne za Tanzania,
Kitendo cha huyu dada kuamua kuweka mifugo yake hereni amenisaidia sana Mimi kama mfanyabiashara wa ng'ombe wa kimataifa,
Sasa nitanunua ng'ombe hapa Malinyi na kuwauza moja kwa moja kwa wateja wangu walioko nje ya nchi, hapa lazima niseme huyu dada ni Mkurugenzi bora kabisa,
Kama kuna mtu wanamalinyi hasa wafugaji wanaweza kumshukuru basi ni huyu dada Joanfaith,
Huenda tukaanza kushuhudia ng'ombe anauzwa hadi milioni tatu hapa hapa Malinyi,
2. Ujenzi wa ghorofa kwaajili ya Halmashauri ya Malinyi, yaani she is doing wonders aise, njooni Malinyi na ninyi mjionee haya ninayoyasema,
3. Kamaliza migogoro ya makulima na wafugaji kabisa hapa,
Natamani halmashauri zingine nao waamke, mkoa mzima wa Morogoro ni huyu binti tu kanifurahisha zaidi hasa kwa Eartags,
Hongera dada mzuri kwa kazi nzuri sana ya kuwasaidia wafugaji na wananchi wako wa Malinyi,
===
Hongera RC,
Hongera RAS,
Hongera DC,
Hongera DAS,
Tittle ya uzi wako unakosana na content. Kwenye content umezama deep kuelezea faida za hereni za mifugo jambo ambalo ni muhimu na ungelianzishia uzi wake . Umesababisha watu hawamjadili DED kamaulivyokusudia wanajadili hereni mana wengi walikuwa hawajui. Hivyo umeibua kitu kidogo kimekuwa kikubwa kuliko kikubwa ulichokusudia. Ni kama kuna nyuzi mbili moja inamuhusu DED nyingine inahusu hereni
Ungefafanua ili nasisi tunufaike na uzoefu wako,Kwa hoja zako ni dhahiri hujawahi kufanya biashara ya kuuza ng'ombe nje ya nchi....sekta ya mifugo nchini inahitaji mageuzi makubwa na sio eartag ili kufikia walipo wenzetu kama Botswana.
Uko sahihi 100%√Hapana, kaelezea anayoyafanya DED ikiwamo kuongeza thamani ya mifugo kupitia hereni. Tabu watu wengi wanauzia soko la ndani hivyo hawakuwa wanajua hili kama lipo considered kimataifa thus why ikageuza mwelekeo wa topic.