Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

Badala ya kutoa maoni yako, umekazania kujifagilia: mara nimepiga one form six, mara PhD yangu si ya kupewa.....
 
Yote unayosema, hata wakiyafata, sawa na bure tu, mtu akiwa ccm tu tiyari kilaza??
 
Wewe utakuwa ni Form four. Analytical ability yako inaoonesha hivyo.
 
Ukimaliza kidato cha nne tu, ukaenda nchi za wenzetu na uwezo wa kujilipia ada unao, muda si mrefu unakuwa rubani.
Muhimu tujikite kwenye elimu yenye tija, sio kupoteza miaka mingi kwenda kusoma nadharia.
Nchi za wenzetu utakuta mtu ana miaka 19 tayari ana PhD; kwa hiyo kupoteza miaka mingi huku utaalamu kichwani hakuna, hilo ni tatizo.​
 
We naye acha kuchanganya madesa
Form VI na VETA wapi na wapi. Hizi ni kada tofauti kabisa. Form six andaaliwa katika nadharia na kufikiri mambo ambayo ni complex. Form anaandaliwa kuwa mtendaji yaani Fundi.
Baadhi ya wabongo akili zetu huwa ni ndogo sana..

Mtu analinganisha VETA na Form six ..hajui hata mtu huyo wa Form six ana potential gani baada ya hapo.
 
Ukweli mtupu,
 
Umesoma sayansi?

Unaijua Organic chemistry ya o level na advance?..unajua mtu akienda kusoma mfano B.Pharm organic chemistry yake inakuaje?..unahisi dogo wa form four ubongo wake upo tayari kuelewa hayo mambo bila kupita advance?..
 
We naye acha kuchanganya madesa
Form VI na VETA wapi na wapi. Hizi ni kada tofauti kabisa. Form six andaaliwa katika nadharia na kufikiri mambo ambayo ni complex. Form anaandaliwa kuwa mtendaji yaani Fundi.
Mambo complex yapi?may be kuwaza kuwa bank teller na kujiunga na jeshi,
Veta ni mtendaji,ndio mwenye skills,zinazohitajika viwandani,Sasa six atafanya Nini,labda kufundisha tuition
 
Mkuu uko sahihi sana.Tuna kizazi kinachoamini kwenda Chuo cha kati ni kufeli. Mimi nimepita advance, sijui huko nilikua natafuta nini hahahahhah. Mwanangu Katu hata fuata ujinga wa Advance labda nife.
Asilimia kubwa wanaoenda vyuo vya kati ni waliokosa alama nzuri za kwenda kusoma kozi nzuri chuo kikuu au advance..

Sasa hivi diploma za afya unaambiwa D tatu tu..sasa hapa kuna nini tena..ujinga mtupu..D tatu tu za o level mtu anaenda kusoma Diploma..maajabu haya.

Ni wachache sana wenye matokeo mazuri wanaenda vyuo vya kati.
 
A level ni kupote muda naunga mkono hoja, Kenya, Marekani na Uingereza hawana hivyo vitu mbona wametuacha sn? tuwekeze kwenye vyuo vya kati kwanza kabla ya kwenda university

Hakika nyie WaTanzania vilaza kabsaa. Wakati mnaondoa elimu ya FTC hamkuliona hilo? Leo ndo makumbuka matapishi yaleyale. Kweli 2034 inch itakuwa ya vilaza wa kwenda
 
Badala ya kutoa maoni yako, umekazania kujifagilia: mara nimepiga one form six, mara PhD yangu si ya kupewa.....
It's normal or it's nature of the mind to find negatives,flaws, mistakes, errors,Wala sijajifagilia sema nimeonyesha kuwa siikubali advance even though nimepita na nimepata one both olevo and a level . Najua utapata maumivu ya envy.yaani huwa nafurahi mind inavyofanya kazi.
Baadaye utaniambia kuwa Nina bilioni ngapi. Nipo sinaa hata Mia ridhika ama poozea maumivu mkuu.
 

Huna lolote we kilaza tu, we ni o level div IV ya point 32 bwege tu fulan mana ungekuwa umekamua 6 usingefagilia izo zero brain zako
 
Hao wanaioshia Form four tunawaandaa kuwa watendaji zaidi kitu ambacho siyo kibaya. Hawa wanaoenda chuo kikuu kupitia A level tunawaandaa katika Managerial position. Tunahitaji watendaji wengi zaidi kuliko managers.

jeshini huwa wanaweka wazi about this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…