Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣🤣Hivyo asipopiga chafya nao watamzika.
Sasa usitushutumu waislamu kwa kuwahi kumzika maana hata na sisi akipiga chafya hatutomzika.
Hivyo hapa ni suala tu la marehemu atapiga chafya muda gani ili kuokoa maisha yeke[emoji23][emoji23][emoji23] sawasawa awe muislamu au sio muislamu.
Au unataka kusema maiti wa kiislamu huchelewa kipiga chafya[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa utaratibu huu watazika wengi wakiwa hai. Kuna watu wanazimia macho yanageuka ile mboni haionekani kabisa itakuwaje?Nadhani waislam wana vitu vya kuangalia (according to mafundisho) ili kuthibitisha kua mtu kafariki. Moja wapo ya hivyo vitu ni kwamba ukifungua jicho la mtu ambaye unadhani kafariki then ukajiona kwenye kiini cha jicho jua hajafa, ukiona kiini cha jicho hakioneshi image yako jua kasha rest in peace na anatakiwa akapumzike kwenye nyumba yake mapema sana.
Unataka kusema kuwa hizi jamii zetu zote za kiafrika zisizo na uthibitisho mkubwa wa kitaalamu bobezi huwa tunazika na tumeshazika wengi wakiwa hai?!!!Kwa utaratibu huu watazika wengi wakiwa hai. Kuna watu wanazimia macho yanageuka ile mboni haionekani kabisa itakuwaje?
QURAN 109: 1-6
1." Sema: Enyi makafiri!
2. Mimi siabudu mnacho kiabudu nyinyi;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu mimi.
4. Wala mimi sitaabudu mnacho kiabudu nyinyi.
5. Wala nyinyi hamta abudu ninaye muabudu mimi.
6. Nyinyi mna dini yenu, na mimi nina dini yangu. "
Ahaaa achana na kiba huyo,hizi dini zinatuchanganya sana,ukichunguza kiundani utakuwa chiziKila binadamu kazaliwa akiwa muislam alafu wewe sijui unaongea nn
Kama huna uthibitisho wa kitaalam ni wazi kuna nafasi ya kuzika mtu hai.Unataka kusema kuwa hizi jamii zetu zote za kiafrika zisizo na uthibitisho mkubwa wa kitaalamu bobezi huwa tunazika na tumeshazika wengi wakiwa hai?!!!
Kwa mantiki hiyo tusubiri muda gani ili tuzike?!! na kwanini muda huo?!!
Nijuavyo wengi hufia majumbani na katika hivi vituo vyetu vya afya.....
????Kwan waislamu wakifa anayethibitisha kifo ni mwislamu
Hivyo asipopiga chafya nao watamzika.
Sasa usitushutumu waislamu kwa kuwahi kumzika maana hata na sisi akipiga chafya hatutomzika.
Hivyo hapa ni suala tu la marehemu atapiga chafya muda gani ili kuokoa maisha yeke[emoji23][emoji23][emoji23] sawasawa awe muislamu au sio muislamu.
Au unataka kusema maiti wa kiislamu huchelewa kipiga chafya[emoji23][emoji23][emoji23].
Dah we jamaa weww uko vizuriHivyo asipopiga chafya nao watamzika.
Sasa usitushutumu waislamu kwa kuwahi kumzika maana hata na sisi akipiga chafya hatutomzika.
Hivyo hapa ni suala tu la marehemu atapiga chafya muda gani ili kuokoa maisha yeke[emoji23][emoji23][emoji23] sawasawa awe muislamu au sio muislamu.
Au unataka kusema maiti wa kiislamu huchelewa kipiga chafya[emoji23][emoji23][emoji23].
Haki za kukosa ufahamuACHA KUIZUNGUMZIA DINI YA HAKI WEWEEEE
Maamuma watakushambulia hadi ukome
Hivi wewe hukuona yule mchezaji alyefariki Kagera mchezaji moyo umezima badala ya kumpa CR wanamnyanyua miguu utasema kasema kabwanwa na muscles kijana akazimika kimoja.Ni utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana,ukikata moto asubuhi mchana tunazika
Ila nina hakika kuna watu wengi wa meshazikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakiwa kwenye coma,hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo
Kuchelewa kuzika ni mbaya ila ina faida zake,maiti inaeza kupiga chafya
Mwaka 2012 mchezaji fabrice muamba wa bolton wakicheza dhidi ya spurs alianguka uanjani na moyo wake ulusimama kwa dakika 78.
Referee howard webb aliahirisha mechi huku machozi yakinroka,uwanja mzima ni huzuni madaktari wa kizungu na kudra za Mungu jamaa akaamka bwana na kustaafu mpira rasmi.
Angekuwa afrika tungeshamsahau na mke wake angekuwa single mother tayari,ila jamaa anakula bata tu
Umesema kweli.Hii inshu sio kwa waislam tu hii inahusu jamii zote zakimasikini. Kama hamna huduma za afya afya za uhakika kuzikana wazima wazima ni jambo la kawaida ata ulaya miaka hiyo walikuwa wanazikana wazima had wakaanza kuweka kengere kwenye makaburi.
Ningeshangaa kama uzi ungepita bila kejeli,anyway kila nafsi italipwa kwa kile ilichokichumaUnacheza na bikra 72 au unajitoa ufaham