Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

Kuna mnyukano mkubwa sana unaendelea ndani ya Serikali kuhusinana na dhamira ya Waarabu wa UAE ndani ya Tanzania. Wanachokifanya Loliondo la kuwatorosha wanyama imewakera sana wanajeshi. Tegeni masikio kama yatamwagika nje.
 
Hata Mimi nimekerwa Sana urithi wa wajukuu wangu kuchukuliwa kirahisi tu.
Hivi kwanini viongozi wetu wanatanya vitu as if there in no tomorrow?
Utasikia mzungu Fulani kapewa ekari milioni mbugani, wakurya na wasukuma wanatakiwa kuondoka kwenye eneo Fulani, wamasai wanatakiwa kuondoka ngorongoro waende Handeni kwenye ukame. Why?
 
Haipo hiyo. Akiachia na Baraza zima linavunjika. Mnataka kuwapa wateule presha tena.

UCHAGUZI Una maajabu gani? Kwa katiba na tume ipi?
Mkuu kwani kuvunja baraza kuna gharama yoyote?
Anaweza kuvunja baraza asubuhi, jioni akatangaza wale wale! Ni tofauti na kuvunja bunge ambapo inabidi utangaze uchaguzi tena!
 
Hapana. Ameabiwa akae kama Shadow worker, ili astaafu salama akalime.

Kitaalam akiachia ataruhusu Sheria imdake na kugunguliwa mashtaka kadhaa. Mf anajua wakina azori walipo ataitwa akajibu
 
kwa cheo kama hicho kuishi kwa kutegema mood ya mtoto wa kike ni upuuzi,kama akina nyakoro na asuman walimkazia live live akaamua awafurushe sembuse yeye!!!awe mwanaune,maana cheo chake ni kama jipu kwenye koromeo,ukitumbua hovyo unakufa au kuparalaizi.

toka mwanzo ilifaa aonyeshe msimamo wake kama akina nyakoro,hawakuremba mpaka vijembe kwenye kila press vikaanza.
 
Mkuu kwani kuvunja baraza kuna gharama yoyote?
Anaweza kuvunja baraza asubuhi, jioni akatangaza wale wale! Ni tofauti na kuvunja bunge ambapo inabidi utangaze uchaguzi tena!
Analivunjaje Bunge wakati yeye mwenyewe ndio chanzo cha kuvunja katiba ya nchi? ...

Wakati umefika wa kufanya ukarabati wa nchi, kuanzia Muungano, Katiba na uchaguzi wa viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…