Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

Sauti yake haina nguvu kuliko waraka wa kanisa

Alijisemea: " Raisi yupo anachapa kazi"

Nguvu ya ccm huonekana kwenye matukio kama haya.
Nakupa Siri Sasa mama enu Hana NGUVU watanganyika waliopo serikalini wanasubiri tu wakulianzisha, na Kwa taarifa Sasa MAJALIWA atachukua form 2025 na mama enu atarud paje zenji

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani
 
Hapana. Ameabiwa akae kama Shadow worker, ili astaafu salama akalime.


Kitaalam akiachia ataruhusu Sheria imdake na kugunguliwa mashtaka kadhaa. Mf anajua wakina azori walipo ataitwa akajibu
Kwan yeye Prezo hajui hao kina Anzory walipoo??
 
Sawia!... Kitendo cha kumchagua kaimu "Waziri Mkuu" tena mwenye portfolio nyingine ni kiashiria tosha kuwa.... Hamkani!... Lakini si shwari tena. Yanayoendelea kiutawala kwa sasa hakuna tofauti na management za Simba na Yanga. [emoji24]
Yaan hadi ajabu kwa kweli, khaaah
 
Kiranja lazima awe mkali kwenye kuwasimamia walio Chini yake.
Mama kachoka kuona kila siku wizi, ubadhirifu, kusuasua kwa miradi.
Doto nanda kaongeze nguvu ya ufuatiliaji lakini ukali na kuchukua hatua haraka kwa yeyote anaye yumbisha mambo
Sasa Dotto nae ana nn cha ajabu?? Hebu mtuache bhana wee.
 
Nakupa Siri Sasa mama enu Hana NGUVU watanganyika waliopo serikalini wanasubiri tu wakulianzisha, na Kwa taarifa Sasa MAJALIWA atachukua form 2025 na mama enu atarud paje zenji

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Wee unadanganyaa hapa, huijui vizuri nguvu ya Rais ktk nchi hii, muulize Ndugai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…