Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

Ukiwa kwenye siasa lazima uwe na plan B ili kulinda heshima na misimamo yako. Kama unachumia tumbo na unategemea siasa ili ule. Lazima utakuwa kama bendera inayofuata upepo.
 

haya ni mawazo ya mtu asiyejua namna serikali inavyofanya kazi, endeleeni kupiga ramli ikifika 2025 mnakosa Sera mnapigwa mchana kweupe Samia anatuvusha tena hadi 2030
 
Endelea kukaa chini ya mnazi ukisubiri papai lidondoke.
 
Ha ha ha ha kwamba viungo vya mwili vimegoma kushirikiana
 
Majaliwa ya majaliwa yamemjalia kupata msaidizi.Wanamtema kimremamrema.
 
Kuna mnyukano mkubwa sana unaendelea ndani ya Serikali kuhusinana na dhamira ya Waarabu wa UAE ndani ya Tanzania. Wanachokifanya Loliondo la kuwatorosha wanyama imewakera sana wanajeshi. Tegeni masikio kama yatamwagika nje.
Wasije wakaleta ya kwa akina bongo.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu hapo kwenye kumalizia Uzi wako umenyakua Points zote za Uzi...!
 
Sawia!... Kitendo cha kumchagua kaimu "Waziri Mkuu" tena mwenye portfolio nyingine ni kiashiria tosha kuwa.... Hamkani!... Lakini si shwari tena. Yanayoendelea kiutawala kwa sasa hakuna tofauti na management za Simba na Yanga. 😭
MAMA ATAANGUSHA KISHIDA HADHIRANI, WE MWACHE TU.
 
Sio rahisi kiasi hiko. Majaliwa tayari ana siri nyingi hawezi kuondolewa au kujiuzulu kwa namna yoyote ile kabla ya 2025.

JK katika utawala wake aliwahi kuunda Wizara ya Afrika Mashariki ili tu Samwel Sitta awe Waziri na kupunguza fujo zake bungeni baada ya kutumbuliwa Uspika
 
Kuna mnyukano mkubwa sana unaendelea ndani ya Serikali kuhusinana na dhamira ya Waarabu wa UAE ndani ya Tanzania. Wanachokifanya Loliondo la kuwatorosha wanyama imewakera sana wanajeshi. Tegeni masikio kama yatamwagika nje.
Walishatangaza operation ya kukamata wenye nguo zinazolandana na jeshi!!

Mi nikatafakari hata;-

1.ina maana mabaka baka hawa hawaamini jeshi la polisi!!?

2.ina maana hawa jamaa hawamwamini anaeamrisha jeshi la polisi kuwa ANAWEZA kuamrisha jeshi hilo likafanya operation HADI WAO kutaka KUINGIA mzigoni!?

Sijui hiyo operation kama utaanza au ni tishio tu TUSUBIRI!!
 
Mungu hawatupi waja wake hata siku moja,naazidi kutulinda na kutetea zidhi ya mbinyo wa hawa viumbe wake na mbinyo kwa taifa.
 
Let things fall apart !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…