So parking nayo ni bure au walipia na kma wallpa ni dollar ngpGari kubwa kama Van unapata kwa USD 1000, nyumba ya chumba kimoja tu yani studio kodi USD 2400 kwa mwezi.
Ndio mana wanaamua kuishi kwenye magari. Ukishanunua gari yako hulipi tena kodi na hudaiwi
Mimi nitanunua container la 40 ftZile gari ambazo ziko kama nyumba hata mimi nazihusudu sanaπ nadhani wanaziita "Camping Vans."
Ile nikiipata hata sijengi, nakuwa nalipaki Masaki tu nakula upepo wa Coco Beach
Kabisa mkuuMbona hapa Tanzania watu wana ardhi maeneo makubwa na wanalala njaa kwa kukosa chakula?
Na sinunuiππ Umbwa mwenzangu. Lione
Ngoja nikupe story moja kwanzaInakuaje nyie niggaz mnafanikiwa na Kulala ndani then wazawa wanakuwa homeless?
Bila shaka haupo ughaibuni sana sana upo mbagala rangi tatu sasa sijui hizo umezijuaje? Umezipata kwa Ebm? Au kwa huku yues?Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
Wewe upo kimara bonyokwaNgoja nikupe story moja kwanza
Kuna siku niliingia kwenye duka la Mhindi
Akaingia mzungu kununua chupa ya pombe huku akiwa amelewa na kuanza kongea pumba zao
Anasema we mhindi umepataje hela mpaka ukafungua duka kwenye nchi yangu na mimi sina?
Mhindi akamjibu in a polite way akasema nilipokuwa nafanya kazi ya mshahara nilikuwa nalimbikiza hela zangu wakati wewe ulikuwa unalewa tu na leo miaka yote hii nakujua bado unalewa tu
Mimi naishi London 3bed ni kuanzia Β£2200 mpaka 2700 kwa mwezi (6.6-8m kwa mwezi)
Kwa familia kuna nyumba za serikali ambazo bei ni chini zaidi na tunamudu
Wao ulevi Unga na anasa zaidi
Kawaambie hivi, Marakani ni Marekani tu.Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
USA homeless ni wengi sana. Pia watumia madawa ya kulevya wanaishi mitaani. Ukiwaona unaweza kudhani ni mbojo, ile misukule inayominiwa na wanyaturu.Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
Mbona huwa naona kwenye mtandao ni kama Midwest states Kuna affordable homes for rent..i.e Missouri, Arkansas, Illinois n.k. Au ndiyo hakuna mishemishe za kupata pesa?Gari kubwa kama Van unapata kwa USD 1000, nyumba ya chumba kimoja tu yani studio kodi USD 2400 kwa mwezi.
Ndio mana wanaamua kuishi kwenye magari. Ukishanunua gari yako hulipi tena kodi na hudaiwi
Nunua na Semi Trailer ili uwe unahama nayo.Mimi nitanunua container la 40 ft
Ila juu nitaezeka vizuri then ndo niweke container nitapata chumba , sebure jiko na choo haitozidi 10M
Hata kama hayupo US sasahivi kila kitu kipo kiganjani, kwani EBM ndiye source of information? Acha hizo dharau jamaa .mtu ameuliza tu fresh wewe unaanza shombo zako,wabongo bhanaBila shaka haupo ughaibuni sana sana upo mbagala rangi tatu sasa sijui hizo umezijuaje? Umezipata kwa Ebm? Au kwa huku yues?
Huko kwa nyumba za bei hio ni Kama Lindi au Mbinga ya Marekaniπ hamna mtu anapenda kuishi Lindi Compared to Dar au Arusha za Marekani. Watu wanataka ishi New York, Atlanta, Florida au California ndio kwenye mishe.Mbona huwa naona kwenye mtandao ni kama Midwest states Kuna affordable homes for rent..i.e Missouri, Arkansas, Illinois n.k. Au ndiyo hakuna mishemishe za kupata pesa?
Unakuta two bedrooms USD 1000 kwa mwezi,au hapo Ipo vipi mkuu?
Vitu vidogo Sana hivyo, mfano ukifika bongo, ukaenda Dar, mass killings, Oyster Bay, unaweza ukwaamini bongo kuna ufukara wa kutisha, kama wa tandale na kawe!?Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
Ila leo mkuu umenichekesha sanaa πππZile gari ambazo ziko kama nyumba hata mimi nazihusudu sanaπ nadhani wanaziita "Camping Vans."
Ile nikiipata hata sijengi, nakuwa nalipaki Masaki tu nakula upepo wa Coco Beach
Eeh Mercedes wametoa la Brabus ni Mansion yenye matairi.πIla leo mkuu umenichekesha sanaa πππ
Kambi popote sio, hapo umeweka dundo speaker la kuleta vibe usiku wa manane πππ