Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Kuna diaspora mmoja alisema aliiishi kwenye gari linaloitwa Toyota Route Van changamoto ilikuwa ni kipindi cha winter baridi ni kali mno, anawasha heater kwenye gari ni shidaEeh Mercedes wametoa la Brabus ni Mansion yenye matairi.π
Hilo mjomba ukilipata unapaki pale Millenium tower unajifanya bize kumsubiri mwanaJF, kumbe umelala kama pono πEeh Mercedes wametoa la Brabus ni Mansion yenye matairi.π
Kuna public parking nahisi hawalipii na pia kuna public toilets pia wanaenda kuoga kumaliza mambo yao huko.So parking nayo ni bure au walipia na kma wallpa ni dollar ngp
Ataeleza yeyekwa Sheria ipi
Hahahaha brabus 1200 Big Boy ni dude moja kubwa sanaHilo mjomba ukilipata unapaki pale Millenium tower unajifanya bize kumsubiri mwanaJF, kumbe umelala kama pono π
Labda marekani ya mchambawimaHata kama hayupo US sasahivi kila kitu kipo kiganjani, kwani EBM ndiye source of information? Acha hizo dharau jamaa .mtu ameuliza tu fresh wewe unaanza shombo zako,wabongo bhana
Wewe upo kimara bonyokwa
".....waishi kwny gari kwa sheria ipi, nioneshe sheria, haya utanionesha sheria baadae...tuendeleee" Muliro alisikika akisema.Muliro atalitolea ufafanuzi hili suala lako
Naunga mkono hojaMi nadhani inatokana na seasonal employment .Kwa mfano hasla anaweza kuwepo miami florida anauza labda ice cream kipindi cha summer kunapokuwa na high season ya watalii. Msimu ukiisha anarudi new york kwenda kusafisha na kukwangua theluji barabarani. Mtu wa aina hii mtafutaji ni ngumu kupanga chumba. Hivyo kulala kwenye gari ni must. Na magari ni yale yanakuwa na caravan.
Bufa na Nyani Ngabu wanaishi kama ngedere mkuu. Ila wanapata hela za kufanya maendeleo bongo.
Una uhakika Tz hakuna homeless?Hata mimi nilikua najiuliza maswali kama haya inakuaje nchi yenye uchumi mkubwa kuna watu homeless.Mimi mtanzania siwezi kua homeless kwanza nina kwangu kwa wazazi na kwa bibi huko kote nina haki ya kuta nyumbani na nikienda napokelewa.Nilipofika ughaibuni nikagundua homeless wengi wazawa ni wa kujitakia hasa matumizi ya madawa sasa system inakutema ukiwa teja huwezi fanya kazi.Hawa watu bwana ubepari umewaharibu hawana huruma hata kwa watoto wao unaweza kuta teja ana wazazi matajiri hawataki hata kumuona.Tatu wahamiaji haramu hawa pia ni shida maana huwezi fanya kazi utapata wapi kupata.
Ila kuhusu kulala kwenye gari hilo sio ajabu mwingine mishe ndio zinamfanya hivo ila ni kwa msimu
Ndio ndio.Au sio πππ
Kwa Europe wanapelekwa kwa facility za Serikali hadi winter ikiishaduh! hatari sana wakati wa baridi si huwa wanapata tabu hawa
nilishawahi kuishi apartment ya hali ya chini kabisa yenye kitanda kimoja tu, eneo la kupikia, bedroom self na padogo pa kukaa kwa Euro 500. hiyo ilikuwa ni kodi ya kimaskini kwa mtu kama anayetoka tz. ila kawaida ni euro 1000 hivi kwa mwezi. kodi hio ukiwa hapa bongo utalipa masaki. usije kuondoka na kwenda kule ukiamini utalipa kodi zako za kimara na sinza, utalala barabarani hakika.Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari