Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu


 
.
 
Hapa nimekuelewa
Hivi haiwezekani tukafungua darasa la jando na unyago, vijana wafundishwe kuyakabili maisha badala ya kuyaogopa?
Vijana wafundishwe kuzibadili rasilimali zinazo wazunguka kuwa fedha badala ya kutegemea fedha za wakwe/ za binti?
Vijana wafundishwe tofauti ya kazi na ajira? Maana wengi wakikosa ajira wanadhani wamekosa kazi.
Hebu tulipanue hili wazo, maana naona kizazi kinazidi kukengeuka
 
 

Attachments

  • cup-of-tea-teapot.gif
    157.7 KB · Views: 4
Wewe ni motivation speaker mkuu....🥱🥱🤒
 
"""Maana kinacho angaliwa kwenye maisha ya ndoa ni ile chemistry""🤣🤣🤣🤣 hapo kwa chemistry an ipoje mkuu ?
 
"""Maana kinacho angaliwa kwenye maisha ya ndoa ni ile chemistry""🤣🤣🤣🤣 hapo kwa chemistry an ipoje mkuu ?
Wahenga walisema bora ukosee kujenga nyumba! Maana unaweza kubomoa na kujenga nyingine. Ila usikosee kuoa.

Siku zote ndoa hupimwa kupitia hiyo chemistry! Yaani mkiendana, basi mtafurahia sana maisha ya ndoa. Maana furaha, amani na upendo vitatawala ndani ya nyumba.

Ila msipoendana, aisee ndoa ni chungu kuliko hata shubiri.
 
Kwa kweli hii elimu inahitajika zaidi ya elimu ya darasani maana vijana wanayumba kwa sababu hawajapata mwongozo sahihi

Hebu tukae kikao tujadili kwa upana maana hii idea ya ni ya kufingia mwaka kabisa
 
"""Maana kinacho angaliwa kwenye maisha ya ndoa ni ile chemistry""🤣🤣🤣🤣 hapo kwa chemistry an ipoje mkuu ?
It's all about composition and decomposition of your bond. Composition is when you manage to stay peacefully and happy without unusual conflicts and decomposition is when you take your challenges positively as a fertilizer, process them and apply them for the growth and stability of your bond.
 
Nimejaribu Sana Google image search...hebu toa darasa unaifanyaje ..Kwa simu? Ni Ku copy na kupaste na Ku search only?
Unainstall App, then unachukua hiyo image unaiupload kule halafu kuna seheme ya search... inakuletea similar images zote, au image zinazofanana na hizo.

Au kama mdau alivyoelekeza hapo juu.
 
Mmmmmh aiseee kuna watu mume dig deeply an 🤣🤣🤣🤝🤝🤜🤜 yaan wee na chemia mna bond tena ile hydrogen bond... Sasa unaitumia in real life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…