round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti.
Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela.
System ya mapusha wa bangi hapa bongo, wanapiga simu kwa supplier wanamtuma hela ya mzigo na usafiri, wao wanaenda kuchukua mzigo kwenye vituo vya magari ya mikoani, baada ya hapo wanachambua mzigo na kuugawanya kwenye kete wanazouza mtaani.