Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

sasa pusha unauza puli 2 za bangi kwa siku utatoboaje sasa? hata polisi wataona uvivu kukufatilia! uza magunia ya bange hata 5 kwa siku uone utavyofukuzana na mwera utajiri nje nje!
 
  • Thanks
Reactions: K11
Pole mzee,watu Wana ball kwa mishe hizo kitambo wanalisha familia,wanajenga kwa kuuza kete,.Ila wanao uza mapuli ndio huwagusi..

tulio kulia uswahilini ndio tunajua supplying chain,Nani anapata,Nani anapoteza muda..biashara mapuli,. sio kisado,gunia Wala kete
 
Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti.

Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela.

System ya mapusha wa bangi hapa bongo, wanapiga simu kwa supplier wanamtuma hela ya mzigo na usafiri, wao wanaenda kuchukua mzigo kwenye vituo vya magari ya mikoani, baada ya hapo wanachambua mzigo na kuugawanya kwenye kete wanazouza mtaani.
Mkuu inategemea na uuzani wako na nidhamu ya pesa watu tunalisha familia na yetu yanaenda Kwa kazi hizi
Wapi
Kenneth mkapa
Macheche
Msonga jitu
Jeba
Msukuma
Kama huyo mmoja kqnunua nyumba kabisa Kwa kazi hizi alafu nyumba yenyewe kanunua sio pembezoni mwa mjiji hapahapa mianzini mburahati
Nami nakuahidi mpaka December chumba kimoja na sebule kitakua tayari Kwa kazi hizi
Kwa sie tuliozaliwa
Mburahati
Tandale
Manzese
Tandika na uswahilini kote Kwa namna Moja au nyingine tunafaidika nazo mkuu
Na siku hizi soko kubwa ni skanka sio bongo shit(za Moro) gram Moja 2000\3000 bei ya kuuza na kununua gram Moja 550\650
So kama una golia la uhakika la kuuza gram 50\100 Kwa siku
So ukiuza kilo mbili Kwa mwezi mmoja na ukawa na nidhamu ya fedha
Waalimu
Police
Na waajiliwa wengine wengi tu hawakupati kipato Kwa mwezi
So tusiache kuheshimu kazi za watu
 
😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom