Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051
Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti.

Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela.

System ya mapusha wa bangi hapa bongo, wanapiga simu kwa supplier wanamtuma hela ya mzigo na usafiri, wao wanaenda kuchukua mzigo kwenye vituo vya magari ya mikoani, baada ya hapo wanachambua mzigo na kuugawanya kwenye kete wanazouza mtaani.
 
Wakipata laki 3 wanaongopeana bangi inalipa
 
Ni kazi ya laana tu nshakaa na mwamba geto moja hamna kitu chochote yy alikua punda anaenda kuafata mzgo mikoani siku moja kakamatwa uyo pusha anaemuagizia mzgo hana hata 300k ya kuhonga ili jamaa atoke likapitishwa bakuli
 
Wanatajirika sana. Kuna maza huku mtaani yupo vizuri ana nyumba mbili kali. Anauza bangi
 
Hao ni level za masaplaya wakubwa wenye mashamba

Ila kwa mapusha hawa wa mtaani wanaonunua kwa ujazo wa ndoo na visarufeti ngumu sana
Kinachokosekana kwa asilimia kubwa ni nidhamu ya muuzaji inayojengwa na mazingira anayoishi, sio kwamba hiyo biashara haitajilishi tatizo ni nani anafanya biashara; hata kama unazungusha mzigo wa 200k kwa siku kama marafiki wanaokuzunguka ni wanywa visungura na wazinifu na walevi ndio pesa yote utakapoenda kuchoma; wanaochomoa kwenye hiyo biashara ndio wenye potential ya kutoboa katika biashara nyingine yoyote , ni watu wenye discipline
 
Hio biashara inategemea connection zako na quality ya mzigo unaouza,,,,wanao uza skanka naona sio njaa sana kama wanaouza bangi za moro🐕
 
Hio biashara inategemea connection zako na quality ya mzigo unaouza,,,,wanao uza skanka naona sio njaa sana kama wanaouza bangi za moro🐕
Kuna mtaa kulikuwa na bibi anauza hio skanka, watumiaji walikuwa wanaliita hilo chimbo kwa bibi.

Huyo bibi anauza tangu miaka ya 90 lakini hana maendeleo aliyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…