babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kashindwa yule ye mwenyewe laini laini.Huwezi jua Mkuu, mpaka anaamua kuoa lazima alishaona maji anaweza kuyakoga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashindwa yule ye mwenyewe laini laini.Huwezi jua Mkuu, mpaka anaamua kuoa lazima alishaona maji anaweza kuyakoga!
Ila billnas huwa namtafakari afu aaah au basi......😃Billnas na mwenzie😂😂 baada ya mimba ndoa ikaharakishwa na huyo Wolper nae.
usisahau kuweka na zile "mxieeww" alizokuwa anazipenda kwenye nyuzi.Baada ya kipindi kirefu, nimeweka thread hii ya ubuyu katika jukwaa hili kama sehemu ya kumuenzi rafiki & binamu yangu warumi
Endelea kupumzika kwa amani binamu, niko hapa kuendeleza kile ulichokuwa unakipenda zaidi hapa JF.
Hadi tutakapoonana tena, RIP!
Yeah - ndivyo ilivyo. If you do the same thing, the same way, you will always end getting the same results. That is the formular.anatoka kwa kajamaa kadogo, anarudi tena kwa kajamaa kengine kadogo,
Hawezi pata matokeo tofauti kwa kurudia formula ile ile,
enweiz, to each their own..!🙌
Hakuna mtu mwenye akili timamu, anaejielewa atamuoa huyo wolper,Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi kikubwa.
Lakini mbona Mengi hakumzuia K-Lyn kula bata? Ndio kwanza akawa analipia vacation zake na mashoga zake.
Japo, watu hawafanani. Nimeikubali point yako.
Mje tu! 🙌🙌🙌Halafu nyie jamani? 🤣🤣
Amen, Arusha ni home lazima aje asalimie machalii.
Hivi unajua mpaka nimeleta majina yake halisi, mpaka gari lake, anakoishi tu sijaweka kumpa uhuru wa maisha yake…Siyo kweli. Thibitisha kama uliwaona wamevua Nguo kama Gigy na Chuma na Chuma.
Na utumbo aliokata atabeba mimba kweli bila tatizo?! Ila bongo celeb wanatia huruma!!Wema ndio wa kuonewa huruma kabisa! Bora hata wenzie wamepata na watoto, yeye anahangaika na watoto!
Tumuombee.