Hukumu ya Sabaya yaweza kuwapa wananchi kiburi ya kuibua tuhuma zingine kwa wateule awamu ya 5 na hata ya 6.

Wewe si ulikuwa kundi la kusifu na kuabudu na hukuwa miumini wa mabadiliko ...na ulishadidia Sana kuteswa watu Bila dhamana ...
Mimi ni supporter mkubwa wa Samia, napenda aina ya utawala wake! Kwa upande mwingine mimi ni mpinga Jiwe, sijawahi penda aina ya utawala wake since akiwa waziri, watu wa masifa masifa especially wakiwa mbele za watu huwa naamini ni watu dhaifu sana kiuongozi! Sina chama chochote cha siasa ninachokishabikia/kukipenda! 2015 nilimuunga mkono na kumpigia kura Edo, siku anaenda kuchukua na kurudisha fomu Ufipa nilikuwepo, ni mmojawapo tuliyekuwa tunakimbia na gari lake, Mlimani City wakati anapitishwa na baraza kuu nilikuwepo, 2020 nilimuunga mkono Lissu, japo hii miezi 6 ya mother ananikera sana
 
Nazn wananchi sisi tumepata muako wa kuonyesha madudu ya viongz wetu

Na si visingizio Tuu , muweka mada tuhuma kwa kiongoz hazikosekan na ukweli na zauongo japo uongoo husambaa lakn haupimiki kbsa na hauthibiti wafanye kaz kutokan na sheria wasiogope maneno maneno
 
Kwa mtu kama Ole njia ya kuokoa gharama ni kumminya mbegu zake za chini adi afe kama jinsi walivokua wakiwafanyia raia wengine. ...Bado Akina Bashite wanazungusha bodi tu....!!
 
Dogo alipiga watu misumari ya miguu kama Yesu alivyofanyiwa!, alijiona yupo juu ya mawingu wakati kila mtu kaumbwa na Mungu!.

Kuna watu wanajaribu kumtetea wakisema kaonewa. Mungu haonekani lakini matendo yake makuu huonekana siku zote.
 
Jamaa 30 hazimtoshi, tunasubiria zingine kaa Kwa kutulia!!
 
Shida ni kuwa tuhuma hizo zitakuwa za kweli?
Kama zitakuwa siyo za kweli basi kesi haitakuwa na nguvu. Hivi wewe unataka ku-suggest kuwa sheria za nchi ziachwe kufuatwa viongozi wanapofanya makosa kwa sababu tu siku za zijazo watu wanaweza kutumia huo mwanya kukomoa viongozi? NB: Ndiyo maana watu wenye weledi wanadai katiba mpya ili mahakama ziwe huru kuhumu bila kukomoa
 
Kwani mkuu, unateseka na hii hukumu?? Tulia na uwe neutral utaujua ukweli na ubaya wa matendo ya Sabaya.
 
Pia unasahau lengo lingine la adhabu ya kifungo ni kutoa onyo kwa wengine wasifanye makosa kama hayo. Adhabu ikiwa ndogo haitaweza kufikisha lengo linalostahili. Ili kuyarekebisha mambo mengi yasiyofaa, ndiyo maana kuna haja ya kuiangalia KATIBA yetu na hivyo KATIBA MPYA haikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…