Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Mimi ni supporter mkubwa wa Samia, napenda aina ya utawala wake! Kwa upande mwingine mimi ni mpinga Jiwe, sijawahi penda aina ya utawala wake since akiwa waziri, watu wa masifa masifa especially wakiwa mbele za watu huwa naamini ni watu dhaifu sana kiuongozi! Sina chama chochote cha siasa ninachokishabikia/kukipenda! 2015 nilimuunga mkono na kumpigia kura Edo, siku anaenda kuchukua na kurudisha fomu Ufipa nilikuwepo, ni mmojawapo tuliyekuwa tunakimbia na gari lake, Mlimani City wakati anapitishwa na baraza kuu nilikuwepo, 2020 nilimuunga mkono Lissu, japo hii miezi 6 ya mother ananikera sanaWewe si ulikuwa kundi la kusifu na kuabudu na hukuwa miumini wa mabadiliko ...na ulishadidia Sana kuteswa watu Bila dhamana ...