Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

Mwl JK Nyerere alisha wahi sema upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM yenyewe. EL alijaribu akaungushwa na fikiri na historia yake. Lakini alifika mbali mpaka kufanikiwa kufanya mapinduzi angalau kwa dakika chache kutumia ule wimbo maarufu wa pambio la chama. Na alipohamia CDM akafanya lile vuguvugu aliloanzisha ndani ya CCM lififie.

Vuguvugu jingine limeanza kati ya CCM mzinga wa babu wa nyuki na CCM shule/darasa la uongozi ngoja tuone litafikia wapi.
 
Kabla hamja mshambulia pole pole kwa maneno mengi eti Hana iman ya nchi kuongozwa na mwanamke, mgefanya research kwanza kuangalia uongozi wa huyu mama Yetupaka sasa ni wangapi wanaukubali na wangapi wako Kama pole pole.....

Mm tu kwa utafiti wangu wa mtaan kwa wananzengo, naona Kama wengi wanamtazamo wa pole pole so muachen tu Baba wa watu. Kaz i endeleeee. Na muachen pia rais wetu Kaz iendeleee vitaumana mbelen ukoooo
 
Haji Jumaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa toka Mkoa wa Pwani amesema haya

Humphrey Polepole awambie Watanzania kwanini alikuwa anamchongea aliyekuwa Katibu Mkuu wake kwa Mwenyekiti mpaka kupelekea kutenguliwa kwa Ukatibu Mkuu wa CCM
Bashiru aliondolewa ukatibu mkuu wa CCM na kuwa katibu mkuu wa kiongozi!!! Labda sijui maana ya neno UCHONGANISHI!!

Polepole ana mengi ya kulaumiwa lakini sio la “kuchonganisha” Bashiru kupandishwa cheo!!
 
Aliyeleta hili ni anapenda maneno ya wambiea tena anafanana na maraya malaya polepole


Ni nyundo sio hao anaitwa chaka
Shoka sijui shaka


Polepole ni kiongozi ni mtu hatari sana

Tena ni kiongozi anayetoa mawazo

Mawazo ya kulinda tumbo?
 
Haya ma ccm acha yamalizane yenyewe kwa yenyewewe....sisi tutakula bia tu
 
Umuhimu wa kina bashiru utaonekana 2025. Ila itakuwa too late. Ni pale hupitishwi kugombea ubunge bila rushwa na kujuana. Uwezo wako kifedha ndio utakubeba.

Ni pale chama kinapotaka kumfia mwenyekiti mkononi kama ilivyokuwa kwa jk 2015.
 
Kumbe Bashiru kupandishwa cheo kuwa katibu mkuu kiongozi kulitokana na uchonganishi wa pole pole hahahahaha au mimi ndio sijaelewa hahaha siasa hizi
 
Kama huyu mtu anayeitwa Jumaa kutoka Pwani amesema hivi kwa kumshambulia HP kwamba anaushahidi alitaka kuhujumu katiba ili SSH asiwe Rais basi ni muda mwafaka sasa yeye pamoja na wenzie waseme kilichotokea kwa JPM ni kitu gani? Sio hiyo ripoti iliyosomwa ambayo ni ya kutengeza kupunguza makali ya uhalisia.

Hapa kwa wale wanaowashambulia HP, BA nk wanawiwa kutaja kilichotendeka dhidi ya JPM kwa sababu wamechagua kuonesha unafiki wao kupitia jukwaa hili lisiloendekeza mawaa na makandokando ya watu wenye nia ovu.
Eventually, the 'Pandora Box' will be opened to publicly reveal what really transpired to shame away from the hypocrites.
 
Eti Polepole naye anafundisha uongozi, ngoja nicheke...mbona yeye mwenyewe anahitaji kuingia darasani kama mwanafunzi kufundwa uongozi? Halafu kuna mijitu itatoka hapo na kudai wamefuzu, ha ha haa! Hii nchi ina vituko na kwa kweli adui wa taifa hili ni CCM!

Kwa nini mnapata taabu sana? Marehemu anawatesa sana, endeleeni kumdhihaki wakati ukifika ndo mtajua alipendwa na alichaguliwa na watanzania zaidi ya 85%
Kumbe naye dhalimu mwendakuzimu wapo waumini wake wanakesha wakisubiri arudi! Hii nayo kali!
 
Sasa mnamchekea wa nini? Akitaka aende Upinzani yeye na Gwaji boy afu aone kama atapata anachotafuta
 
Aliyeleta hili ni anapenda maneno ya wambiea tena anafanana na maraya malaya polepole


Ni nyundo sio hao anaitwa chaka
Shoka sijui shaka


Polepole ni kiongozi ni mtu hatari sana

Tena ni kiongozi anayetoa mawazo
Alikuwa wapi kumfundisha marehemu? 😃😃
 
Wengi akina Nani? Ulitegemea mtaani wasiotaka maendeleo wachekelee? Hoja zao za kijinga si ni tozo za miamala na mafuta?

Hakuna kitakachobadilika ambae hamtaki ahame Nchi.
 
Aliyeleta hili ni anapenda maneno ya wambiea tena anafanana na maraya malaya polepole


Ni nyundo sio hao anaitwa chaka
Shoka sijui shaka


Polepole ni kiongozi ni mtu hatari sana

Tena ni kiongozi anayetoa mawazo
Acha uwongo, kati ya mtu mpuuzi Basi in huyu polepole. Huyu mtu alidiriki kumuona magu kama mungu, ametesa watu Kwa matendo yake na maneno yake.
Alikua wapi wakati wa magu??
Hovyo kabisa
 

Kwa hiyo unaona ni sahihi nchi kuendeshwa na kikundi kisichojulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…