Pamoja na kuzuia wenzake wasifanye mikutano wala harakati zozote za kisiasa lakini bado alishindwa kujiamini matokeo yake akaamua kuunajisi uchaguzi.Utakuwa ni ule uluioghubikwa na ulaji usiokuwa na kunawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kuzuia wenzake wasifanye mikutano wala harakati zozote za kisiasa lakini bado alishindwa kujiamini matokeo yake akaamua kuunajisi uchaguzi.Utakuwa ni ule uluioghubikwa na ulaji usiokuwa na kunawa
Mnaandika sana lakini naona mnawaandika viongozi msio wajua. Na mmoja wapo ni Polepole. Anaipenda CCM tuu na hafuati kuneemesha tumbo lake. Baadhi yetu tuna ushaidi usio na shaka kwa hilo.Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa,
kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama kwanzia leo
-----
Haji Jumaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa toka Mkoa wa Pwani amesema haya
Tumwambie ndugu Humphrey Polepole kuwa wengi walipita kwenye nafasi ya Uenezi CCM Taifa, hivyo asione kuwa nafasi ile ilikuwa mahususi kwa ajili yake. Sisi tunajua nia yake iliyo nyuma za ajenda anazojaribu kuziibua kupitia kipindi chake cha Darasa la Uongozi.
Kama Humphrey Polepole anafahamu kuna watu wanaendesha nchi yetu kwa utaratibu anaosema wa parallel state au Parallel party ni vizuri akawa muwazi kwa kuwataja majina ili aisadie nchi.
Kuhusiana na hoja ya kikundi kidogo kinaongoza nchi, tumwambie tu Humphrey Polepole kuwa, duniani kote iwe dhairi au sirini, Serikali itaendeshwa na wachache kwa niaba ya wengi. Hakuna Serikali inaendeshwa na kila mtu.
Utaratibu wa wachache kuongoza kwa niaba ya wengi unakubalika, kuliko mtu mmoja kuongoza pekee yake kwa niaba ya wengi. Arejee maamuzi ya chama wakati wake Humphrey Polepole akiwa Katibu wa Itikadi na Uenezi
Humphrey Polepole awambie Watanzania kwanini alikuwa anamchongea aliyekuwa Katibu Mkuu wake kwa Mwenyekiti mpaka kupelekea kutenguliwa kwa Ukatibu Mkuu wa CCM
Kumekuwa na tuhuma nyingi za rushwa na unyanyasaji wa kingono wakati wa uongozi wa Humphrey Polepole, hata pale maelekezo ya kutochangisha pesa za michango kwa wafadhili kwaajili ya kampeni ndugu Polepole alifanya hivyo. Zipo taarifa za michango hiyo kuishia njiani
Kama Humphrey Polepole ana nia safi ya kutoa elimu, CCM inamalizia Chuo Cha Uongozi ni vyema akaomba kufundisha huko kwa nia safi badala ya ilivyo sasa kutumia kipindi chake cha Darasa la Uongozi kuisema Serikali iliyopo madarakani
Ndugu Humphrey Polepole na kikundi chako ambacho hakiamini nguvu ya mwanamke katika kuongoza tuwaambie mtashindwa kama mlivyoshindwa mwanzo katika zoezi la kuzia katiba ya nchi yetu isifuatwe ili kukidhi imani yenu ya kuwa nchi hii haiwezi kuongozwa na mwanamke
Tumsihi ndugu Humphrey Polepole aache kupenda vyeo na ukubwa, nchi yetu ni kubwa kuliko yeye. Anapokosa nafasi kubwa kubwa atulie tu na anyamaze, kwani hata alipofikia sasa ni pazuri,ni vyema akalinda heshima yeke
Ingawa kweli simshabikii polepole hasa kwa ukigeugeu wake na kukosa ideology, lakini nanyi watu wa ccm mna shida kubwa. Mnapenda sana kuabudu viongozi na hamko ideological and principally. Jifunzeni kuwa na siasa za masuala.Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa,
kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama kwanzia leo
-----
Haji Jumaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa toka Mkoa wa Pwani amesema haya
Tumwambie ndugu Humphrey Polepole kuwa wengi walipita kwenye nafasi ya Uenezi CCM Taifa, hivyo asione kuwa nafasi ile ilikuwa mahususi kwa ajili yake. Sisi tunajua nia yake iliyo nyuma za ajenda anazojaribu kuziibua kupitia kipindi chake cha Darasa la Uongozi.
Kama Humphrey Polepole anafahamu kuna watu wanaendesha nchi yetu kwa utaratibu anaosema wa parallel state au Parallel party ni vizuri akawa muwazi kwa kuwataja majina ili aisadie nchi.
Kuhusiana na hoja ya kikundi kidogo kinaongoza nchi, tumwambie tu Humphrey Polepole kuwa, duniani kote iwe dhairi au sirini, Serikali itaendeshwa na wachache kwa niaba ya wengi. Hakuna Serikali inaendeshwa na kila mtu.
Utaratibu wa wachache kuongoza kwa niaba ya wengi unakubalika, kuliko mtu mmoja kuongoza pekee yake kwa niaba ya wengi. Arejee maamuzi ya chama wakati wake Humphrey Polepole akiwa Katibu wa Itikadi na Uenezi
Humphrey Polepole awambie Watanzania kwanini alikuwa anamchongea aliyekuwa Katibu Mkuu wake kwa Mwenyekiti mpaka kupelekea kutenguliwa kwa Ukatibu Mkuu wa CCM
Kumekuwa na tuhuma nyingi za rushwa na unyanyasaji wa kingono wakati wa uongozi wa Humphrey Polepole, hata pale maelekezo ya kutochangisha pesa za michango kwa wafadhili kwaajili ya kampeni ndugu Polepole alifanya hivyo. Zipo taarifa za michango hiyo kuishia njiani
Kama Humphrey Polepole ana nia safi ya kutoa elimu, CCM inamalizia Chuo Cha Uongozi ni vyema akaomba kufundisha huko kwa nia safi badala ya ilivyo sasa kutumia kipindi chake cha Darasa la Uongozi kuisema Serikali iliyopo madarakani
Ndugu Humphrey Polepole na kikundi chako ambacho hakiamini nguvu ya mwanamke katika kuongoza tuwaambie mtashindwa kama mlivyoshindwa mwanzo katika zoezi la kuzia katiba ya nchi yetu isifuatwe ili kukidhi imani yenu ya kuwa nchi hii haiwezi kuongozwa na mwanamke
Tumsihi ndugu Humphrey Polepole aache kupenda vyeo na ukubwa, nchi yetu ni kubwa kuliko yeye. Anapokosa nafasi kubwa kubwa atulie tu na anyamaze, kwani hata alipofikia sasa ni pazuri,ni vyema akalinda heshima yeke
aliekwambia Rushwa haikuepo alikudanganya sana kakaUmuhimu wa kina bashiru utaonekana 2025. Ila itakuwa too late. Ni pale hupitishwi kugombea ubunge bila rushwa na kujuana. Uwezo wako kifedha ndio utakubeba.
Ni pale chama kinapotaka kumfia mwenyekiti mkononi kama ilivyokuwa kwa jk 2015.
Hii nchi inaendeshwa kihuni sana na wote wanao pinga katiba mpya ni wahuni tu,wakati umefika wenye akili waongoze nchi hawa tunao waona kwenye maamuzi hawajilikani kwenye academic level,vizazi vyote vina intellectuals wao hatuwaoni kwenye uongozi au decision making,wamejaa wachumia tumbo au popo na makasuku wakitafuta mlo,tukubali katiba mpya itaondoa uozo wote.
Hata mwenyezi Mungu ilibidi aingilie aingilie kati kwa maslahi mapana ya taifa.Baadae nimekuja kukubaliana na hao kina Polepole. Samia hakuwa na uwezo wa kuwa Rais,katiba ilitakiwa kuvunjwa kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa
Haya mazito [emoji848]Nadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi
Anataka uroda?Nadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi.
Ni wale waliogombea 2020