mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Nawewe uliombwa?au mnataka kumchafua Polepole kwa sababu ya anawaumbua kwenye shule yake ya uongozi? Mambo ya kuombana ngono pelekeni chadema, Maana wabunge wa viti maalumu Ndio waliisha lalamika hadi bungeni,Mwacheni Polepole.Nadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi.
Ni wale waliogombea 2020