Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

Nadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi.

Ni wale waliogombea 2020
Kama walimpa wenyewe kuna kosa gani. Mtu mzima alazimishwe ngono akae kimya halafu aibuke baadae!
 
Nadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi.

Ni wale waliogombea 2020
Wanawake walalamike wenyewe lakini wewe kulalamika yawezekana na wewe ulihitaji hiyo huduma kutoka kwake.
 
Atakanusha tuhuma bado hazijawa rasmi?
Waacha waje tuwaone na tuwajue

So far mtaalam wa kuwa neutralise wapinzani wa mama anaenda vizuri Sana
Gwajima kabaki kimyaa..zamu ya polepole..
Wampe kesi kama kweli
Hivi Gwajima kaishia wapi na yale maigizo yake kanisani kwake kila jumapili?
 
Kipindi hicho ukisemacho wewe nadhani akili yako ilikuwa bado haijapevuka kufahamu nini maana ya Udikteta Uchwara chini ya mungu mfu wa Chato.
Chifu punguza maneno ya shombo,ninachomaanisha ni kuwa hao wanaolalamika si ndani ya CCM humo ambao waliimba nyimbo za kusifu na kuabudu?,na wakasema jiwe aongoze maisha,sasa leo hii Kwanini waanze kulialia kuwa walivuliwa chupi?, Kwanza kwa level ya Ubunge ni mtu mzima anayejielewa na ndo mtunga sheria, hivyo kutoa malalamiko Leo hii ni Upuuzi wa kiwango cha lami.Acha waumane wasitusumbue,kulia kupokezana.
 
Back
Top Bottom