Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

Haji Jumaa na Hamfrey Polepole wote hawana dira. Ni wepesi kama karatasi. CCM ina wenyewe.
 
Humphrey ana sonona kubwa Sana kuikosa ile nafasi aliyekuwa nayo.
Mtu kumbuka kile kipindi chake cha jumamosi Channel Ten ambapo alikuwa anamuasha kiongozi yoyote ajibu ujinga wake usiku mnene sana
 
Mnaandika sana lakini naona mnawaandika viongozi msio wajua. Na mmoja wapo ni Polepole. Anaipenda CCM tuu na hafuati kuneemesha tumbo lake. Baadhi yetu tuna ushaidi usio na shaka kwa hilo.

Tuna offer ya Euro 120,000 kwa mwaka kwa kazi ya Governance na Leadership na amekataa.
 
Hii nchi inaendeshwa kihuni sana na wote wanao pinga katiba mpya ni wahuni tu,wakati umefika wenye akili waongoze nchi hawa tunao waona kwenye maamuzi hawajilikani kwenye academic level,vizazi vyote vina intellectuals wao hatuwaoni kwenye uongozi au decision making,wamejaa wachumia tumbo au popo na makasuku wakitafuta mlo,tukubali katiba mpya itaondoa uozo wote.
 
Hata km mnamchukia sikilizeni mawazo yake kumzushia hakutajenga bali kutabomoa
 
Ingawa kweli simshabikii polepole hasa kwa ukigeugeu wake na kukosa ideology, lakini nanyi watu wa ccm mna shida kubwa. Mnapenda sana kuabudu viongozi na hamko ideological and principally. Jifunzeni kuwa na siasa za masuala.
 
Umuhimu wa kina bashiru utaonekana 2025. Ila itakuwa too late. Ni pale hupitishwi kugombea ubunge bila rushwa na kujuana. Uwezo wako kifedha ndio utakubeba.

Ni pale chama kinapotaka kumfia mwenyekiti mkononi kama ilivyokuwa kwa jk 2015.
aliekwambia Rushwa haikuepo alikudanganya sana kaka
 

hahaha
tatizo Tz inaongozwa nawatu wale wale, akili zile zile, na makosa yanakua niyale yale..

God bless Africa [emoji288]
God bless Tanzania [emoji1241]
 
Kutoa rushwa na kupokea rushwa ni kosa kisheria.
Na je waliombwa rushwa ya ngono au waliombwa penzi kibinadamu au alikuwa anatafutwa mchumba?
 
Atakanusha tuhuma bado hazijawa rasmi?
Waacha waje tuwaone na tuwajue

So far mtaalam wa kuwa neutralise wapinzani wa mama anaenda vizuri Sana
Gwajima kabaki kimyaa..zamu ya polepole..
Wampe kesi kama kweli
 
Muda wa kumshusha aku kunpunguza kasi umeanza ccm ndivyo ilivyo.

Rejea sauti za nape makamba membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…