Kama walimpa wenyewe kuna kosa gani. Mtu mzima alazimishwe ngono akae kimya halafu aibuke baadae!Nadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi.
Ni wale waliogombea 2020
Wanawake walalamike wenyewe lakini wewe kulalamika yawezekana na wewe ulihitaji hiyo huduma kutoka kwake.Nadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi.
Ni wale waliogombea 2020
Eti?BAVICHA at work!
Hivi Gwajima kaishia wapi na yale maigizo yake kanisani kwake kila jumapili?Atakanusha tuhuma bado hazijawa rasmi?
Waacha waje tuwaone na tuwajue
So far mtaalam wa kuwa neutralise wapinzani wa mama anaenda vizuri Sana
Gwajima kabaki kimyaa..zamu ya polepole..
Wampe kesi kama kweli
Kipindi hicho ukisemacho wewe nadhani akili yako ilikuwa bado haijapevuka kufahamu nini maana ya Udikteta Uchwara chini ya mungu mfu wa Chato.Kwanini wamengoja ameondoka madarakani??, Ilikuwa inanoga kipindi hicho eenhh?!!, sasa hivi ndo wanamlalamikia.Huku ni kuchafuana waziwazi.
Hayatuhusu.Nadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi.
Ni wale waliogombea 2020
Jamaa lazma apigwe koki ya nnya maana ameamua kuleta kipindi ambacho ni mwiba kwa chichiemYaani utata mtupu
JamaniNadhani ni muhimu ajisafishe kabla ya hao wabunge hawajaja hadharani, nasikia wanafanya vikao vya kumuumbua, wanazo SMS na walikuwa wanamrekodi.
Ni wale waliogombea 2020
Chifu punguza maneno ya shombo,ninachomaanisha ni kuwa hao wanaolalamika si ndani ya CCM humo ambao waliimba nyimbo za kusifu na kuabudu?,na wakasema jiwe aongoze maisha,sasa leo hii Kwanini waanze kulialia kuwa walivuliwa chupi?, Kwanza kwa level ya Ubunge ni mtu mzima anayejielewa na ndo mtunga sheria, hivyo kutoa malalamiko Leo hii ni Upuuzi wa kiwango cha lami.Acha waumane wasitusumbue,kulia kupokezana.Kipindi hicho ukisemacho wewe nadhani akili yako ilikuwa bado haijapevuka kufahamu nini maana ya Udikteta Uchwara chini ya mungu mfu wa Chato.