Utabiri gn huo mkuuBalozi amejipanga sana utabiri wa Mwalimh Nyerere ndio unaenda kutimia asante sana TAL na JWH mmekuja kubonyeza button ambayo imefunua mambo mengi sana acha tuagize popcorn zakutosha August inaweza kua historia mpya ya nchi
π Chamila kavamia kambi ya commando... kamstahi, kwa lugha ingine kamuambia kijana nimekuacha mbali sanaaa, kwa kila kitu kwenye mambo ya mifumo na siasa.. na akamuambia nomefanya kazi nyingi sana na usalama.. maana yake Chalama is junior tuuAkahsughulike nanmachinga Mwenge bwana balozi dozi zake zamedani akili ndogo huwezi kuelewa anavyosukuma kete zake ukigusa unazama mazima
Atatema lini Hilo Bungo?Hadi pale Samia atakapo "tema bungo", muda wake umekwisha na hastahili tena kugombea U-Rais
Kaisha anza deal na mzee wa msoga sasa.. live bila chenga π π ... Jamaa kajipanga at the maximum.. aisee..Kuna mtu ameambiwa akashughulikie soko la machinga pale Mwenge hizo ndio home work zake.
HP hii ligi inaonekana kajipanga nayo na maadui zake anawajua vizuri.
ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
Anaongelea kamati ya ulinzi ya Mkoa mwenzie anaongelea kamati ya ulinzi ya Nchi na chama hajui kama Kibiongo anaesema ana ma file ndio vijana wa Pole Pole wenyeweπ Chamila kavamia kambi ya commando... kamstahi, kwa lugha ingine kamuambia kijana nimekuacha mbali sanaaa, kwa kila kitu kwenye mambo ya mifumo na siasa.. na akamuambia nomefanya kazi nyingi sana na usalama.. maana yake Chalama is junior tuu
Atatema lini Hilo Bungo?
Wa sana ilishindikana nini Hadi iwe mwezi huu?Mwezi huu
Pona ya Samia na CCM wamuachie LisuPole Pole anakabia juu kabisa vegetables viungo na beki zimekatika kabisa wanashindwa kuzuia mashambulizi π€£π€£π€£
CaCM ndiyo nini?Amewapata wapumbavu wa kumfuatilia, nyumbu wa chadema. CaCM wamemkaushia kimyaaa!!
Yupo Tanzania , analindwa na watu wazito waliotoa Amri ya Kuachiliwa Kwa dad yake mara Moja na kusitisha zoezi la kwenda Kwa Mama yake ndio Sababu Hawajaenda nyumban Kwa Mama yake Polepole.Hawawezi mana huyu mkali anajua anachofanya amejipanga hata location zake anaoenkana alichukua matukio kabla hajaamza baalaa hivyo anaachia tu kuwavuruga hii ngoma sio nyepesi kama kina Mwashamba na machawa wenzie wanavyoona ni zaidi ya waonavyo wao hawaiwezi kabisa
π π kazoe kuongea ongea hovyo, Pole Pole anajua yaliyo kwenye ofisi yake kuliko yeye anavyo jua.. ame mstahi tu..Anaongelea kamati ya ulinzi ya Mkoa mwenzie anaongelea kamati ya ulinzi ya Nchi na chama hajui kama Kibiongo anaesema ana ma file ndio vijana wa Pole Pole wenyewe
Mzee wa msoga leo hapati usingizi, paka kaisha valishwa kengere.. Anafatwa sasa ni zamu yale .. Pole pole na deep state wameamua issue iwe issuesYupo Tanzania , analindwa na watu wazito waliotoa Amri ya Kuachiliwa Kwa dad yake mara Moja na kusitisha zoezi la kwenda Kwa Mama yake ndio Sababu Hawajaenda nyumban Kwa Mama yake Polepole.
Pole pole ana msanua ila ndio ivyo..Sijawahi kuona mtu ana mwenye kiburi kama Samiah. Mama anakiburi na dharau Sana. Mwisho wake utakuwa mbaya. Atakufa kifo kibaya.
Hajielewi huyo jamaa kwanza kazi yake kubwa humu ni kusikita sana.Kama umechoka tulia,hata vita huwa zinaanza na drone kabla ya kuvurumisha makombora ya kuangamiza,wahuni lazima wasambaratishwe safari hii
Sasa wanaokosoa hawashughulikiwi tena ??! π³ π !CCM matumbo joto
Halafu mbona haogopi ??! π³ππ³ !Mbona kma kongea sana mie naogopa
Pili je wazo lake lipi na dhumuni lake lipi hasa?