Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa

Polepole anaumia toka yule mungu wao afe sasa amebaki kuropoka ovyo asipoangalia atapata ukichaa kabisa.
 
Uchifu ni mila na tamaduni zilizopitwa na wakati
 
Yuko sahihi Uchifu unatusaidia nini?
Kweli kabisa! Ujinga wa hali ya juu uchifu ni ushirikina wa hali ya juu! Haya mambo huko nyuma yametesa watu sana! Kuna baadhi ya jamii chifu alikuwa akifa lazima azikwe na mabinti hai wawili! Sasa mnataka kuturudisha huko kwenye zama za ujinga!
 
🤣🤣🤣🤣,kazi yetu ni kuchochea Kuni mbichi kwenye pango!!!
 
Enzi JPM anapewa uchifu hakukuwa na kuchonga hivi!
 
Kutambua uwepo wa Machifu kwa shughuli za kimila au kujaza kwenye cabinet watu wa 'kwenu' na kupeleka kila mradi 'kwenu' bila ya kufuata taratibu kipi kinachochea Ukabila?


U chifu ulikuwepo na kilichokuwa abolished ni Mamlaka ya kiutawala si mambo mengine na ndio sababu yaliendelea tangu uhuru ikiwemo sherehe za kuvishana Uchifu ambao hata Wanasiasa wakubwa miaka yote si tu kushiriki bali nao walisimikwa uchifu …iweje leo ionekane Samia ndio kaleta hili?…

Kuna wakati Bosi wake Polepole alisimama kusikiliza kero za Wananchi pale Kimara Mama mmoja akalalamika kuhusu kutepeliwa na Mhasibu wa Kikoba Chao, Mheshimiwa Mzalendo aliposikia jina la Mhasibu ni Mama Mushi akahoji sasa nyie na akili zenu ilikuaje mkamuamini 'Mama Mushi' aweke fedha zenu?…Pole pole hakukemema lugha zile

Kinachomshawishi Polepole kuwa na hayo 'Mawazo mazuri' sie na yeye anakijua lakin sio Uzalendo wala mapenzi kwa Nchi!

Polepole bado haamini kilichotokea

Taasisi inaamua tu kumpuuza, ikiamua asubuhi tu Polepole na sisi tunaweza kukuta habari kwa 'Milad ayo' kwa hiyari yake kapeleka barua kwa Bw.Daniel Chongole kujivua uanachama wa Ccm na automatic akawa si Mbunge

Kanyofolewa Spika na kila kitu kinaendelea!

Kama anataka kukosoa sana arudi zake Femina alipookotwa


'…Katushindwa wakati wa Gof father wake…atatuweza leo kabaki Yatima…' mwisho wa kumnukuu Muhuni mmoja
 
Polepole katika hili yupo sahihi. Tunahangaika na mambo ya kijinga wakati kuna mambo mengi ya maana.
 
No mantiki hapa ni je Uchifu ambao ni ukabila unatuunganisha au unatugawa!??? Mwanasiasa anapopita kuwatafuta anatafuta nini?
 
Suala la kubadili katiba sio suala la mtu mmoja..ni suala la kitaifa kila mwananchi aone umuhimu huo..hata wanasiasa wanatambua hili..shida ni maslahi yao binafsi hii katiba inawapa nguvu kubwa ya kuchuma mali na kujineemesha.

Kubadili katiba ni anguko lao..kichama na kiserikali..sidhani kama wanataka hayo yatokee..huwa hawaapi kuilinda katiba hua waapa kulinda maslahi yao kwajina la katiba.

Ndio mana ukigusia katiba wanakushukia kama tai kwenya mzoga.

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshamwambia hangaya. Kama hasikii tutaongeza sauti. Tulizika siku nyingi eti kila kabila lina chifu. Kwanza jiulize neno chifu ni la kabila gani kama si kingereza cha wakoloni. Gawa ili utawale ndio kanuni ya wakoloni. Kuna kabila nyingi tu chifu waliwekewa na ukoloni.
 
Mpuuzu mkubwa hiki kiroboto, mwendazaake alipokuwa anendesha nchi kikabila mbona hakusema!
Vijitu kama hivi ni vya kudharau milele
 
Kwa hiyo wewe unafata anayosema Polepole? Au Polepole hatakiwi kukosoakwa kuwa alifanya kazi na Magufuli? Kwanza umejaa ukabila na ujinga! Pia unadhani kumtoa Ndugai ndo kutafanya ukweli wa kukopa ovyo utoke? Unaficha kichwa ndani huku mwili uko nje? Mimi naamini suala la Ndugai bado lipo hivyo aliyesababisha kumtoa Ndugai naye ni binadamu tu! Pia polepole alikuwepo kabla ya kuwa Karibu mwenezi wa CCM au mbunge!
 
Mpuuzu mkubwa hiki kiroboto, mwendazaake alipokuwa anendesha nchi kikabila mbona hakusema!
Vijitu kama hivi ni vya kudharau milele
Ukabila unao wewe ambaye ulizoea kuiba mali ya serkali ulipobanwa ukaona anachuki na ukabila fulani! Nyie tunawajua wenye vifua vikubwa na miguu kama fito! Wapuuzi sana nyie!
 
Hiyo miradi iliyoenda chato na haikufanyika kwingine ni ipi?

nitajie mawaziri 10 wasukuma kipindi cha magufuli! Hii myth haipo kipindi hiki kuhusu waislamu? ni kweli?

kuhusu mama Mushi labda uamue kumpaka matope Magufuli ila watanzania wengi wana utani kama huo kuhusu ndugu zetu wachaga ni kama ilivyo kwa wasukuma na ushamba(watanzania tuna mazoea ya kutaniana labda utuambie wewe ni wa wapi)

hapa naona unajaribu kuipiga rungu hoja ya polepole badala ya kuijibu, na najua hii hoja isingetolewa na pro magufuli ungeijibu inavyotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…