Kwa hiyo ndo maana hiyo bibi yenu ndo kaamua kutoa mawaziri wore wakiristo kama Medard Kalemani,faustine Ndugulile,Paragamba Kabudi,William Lukuvi akaweka waislamu vilaza kama Makamba!Wewe sio Mpuuzi ila hujui ukiacha Jafu niliemsahau ila wengine hao hawakuwa kwny Cabinet ila utabisha kwa kuwa hujui Naibu sio Member wa Cabinet nami niliongelea Cabinet kwa makusudi kwa kuwa nilijua kama Ww mpo wengi mtaokuja na hao Manaibu