kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
Ww uoniYupo sahihi alivyosema miaka 6 kama vice president na miaka 4 kama rais, ana jipya gani?

Meli inazama kwasababu nahodha ni tahiraPolepole aambiwe meli ya CCM ya urais ishang'oa nanga na yeye ameachwa, mabadiliko ni kwenye ubunge
Hatoshi kuwa Rais kwa awamu nyingine.Polepole aambiwe meli ya CCM ya urais ishang'oa nanga na yeye ameachwa, mabadiliko ni kwenye ubunge
Naona mkuu.Ww uoni
Est 1977Ccm ina miaka mingapi
Nani amkubali, cha msingi aage ale marupurupu yake hadi mwisho wa maisha.SSH huyu mtu kwakweli hakubaliki hata na sisimizi
Sindano imekuingiaMnafiki na msaliti mkubwa sana Polepole..!! Hana la maana, hana uhalali wa kusema eti Mh. Rais Samia asigombee
kanuni zenu zinaeleza wapi makamu akishika uraisi --- nini kinafata baadae ?Samia alikuwa anamshikia marehemu, awamu ya marehemu imeisha na yeye ki kanuni na taratibu za chama chetu hawezi kugombea Urais sababu alikuwa sehemu ya uongozi wa katika awamu ya tano.
View: https://youtu.be/NoNTvQOy-z0?si=-8Jq2-K-sm5qoVoZ
➡Humphrey Polepole amefungua valve nyingine kubwa zaidi na kwa uwazi kabisa kwa genge la utekaji na mauaji la Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kama tutaufanya as scheduled this year....
➡Amesema, CCM kama ilivyo desturi na utamaduni wake lazima ijifanyie "service". Samia Suluhu Hassan hapaswi kuwa mgombea u - Rais wa CCM tena. Amemaliza muda wake. Chama ni lazima kimwage oil ili kujihuisha, kukipa uhai..🤔
Kwa muhitasari sana, haya ni maswali aliyoulizwa na mtangazaji wa StarTV Aloyce Nyanda na yeye kujibu kwa ufasaha👇🏻
MTANGAZAJI ALOYCE NYANDA: Msimamo wako ni dhahiri haujabadilika na unataka Chama Cha Mapinduzi kitafute mgombea mwingine wa uchaguzi ktk uchaguzi wa mwaka huu 2025 (kama utafanyika), Je ni sahihi...?
HUMPHREY POLE: Ni sahihi kabisa...
MTANGAZAJI ALOYCE NYANDA: Kwanini asiwe Bi Samia Suluhu Hassan ambaye mkutano mkuu umempitisha? Dosari iko wapi...?
HUMPHREY POLEPOLE: Kuna mambo mawili ya msingi ndani ya CCM ambayo nataka yaeleweke vyema.
➡MOSI, kwa muda mrefu CCM kimekuwa na utaratibu wa kujihuisha kila baada ya miaka 10 za awamu za uongozi wa dola na hasa ktk nafasi ya u - Rais. Kwa kiingereza huu utaratibu unaitwa internal regime changes. Na utaratibu huu wa kukihuisha chama umekifanya CCM kuendelea kuwa madhubuti na kuendelea kuaminiwa na wananchi. Tumefanya hivyo baada ya awamu za uongozi wa dola mwaka 1995 - 2005; 2005 - 2015 na hii awamu hii chini John P. Magufuli na Samia Suluhu Hassan (2015 - 2025) ni LAZIMA tufanye mabadiliko, ni lazima tufanyie service chombo chetu kabla kukiruhusu kuendelea na safari nyingine...!
➡PILI, ni desturi na utamaduni wa kikanuni ndani ya CCM. Ni kweli katiba ya nchi ya 1977 inampa haki Samia Suluhu Hassan kufanya hiki anachotaka kukifanya. Lakini katiba ya nchi haitambui utamaduni na desturi za CCM na haituambii namna tunavyopaswa kuji - conduct ktk masuala yetu ya ndani ya namna ya kumpata mgombea wetu wa u - Rais. Unaweza kuwa na haki kwa mujibu wa katiba ya JMT ya kugombea u - Rais lakini chama kikashindwa au kikakataa kukuteua kuwa mgombea kwa sbb kuna vigezo na sifa fulani kimeweka kwa ajili ya mgombea wake kwa ajili ya uimara na umadhubuti wa chama.
Sasa CCM inaweza kuamua kitangulize maslahi mapana ya chama kwanza kwa manufaa ya wanachama wote badala ya mtu mmoja kwanza au kiamue kulinda maslahi ya mtu mmoja na kukiangamiza chama na wanachama wote..
Mfano Mama Samia amekuwa Vice President kwa miaka 6 na Rais kamili kwa miaka 4 ktk awamu hii inayomaliza muda wake mwaka huu 2025. Ni nini kipya atakifanya amvacho ameshindwa kukifanya kwa miaka 10 akiwa VP na Rais kamili? Hiki ni moja ya kigezo chama hukizingatia...
Huu ni mwaka wa kufanya INTERNAL REGIME CHANGES. CCM ni LAZIMA ipate mgombea u - Rais mpya...!!
Jadili hili suala bila kuweka mihemko.Mama tunae mpaka 2030...polepole na genge lake ni muda sasa na wao wanywe kikombe cha shubiri kwa miaka mitano ijayo...
Ujiajiri na wewe kama ulivyokuwa ukitushauri kipindi ukiwa msemaji wa chama