Balozi Humphrey Herson Polepole anasema Rais Samia Hassan hana jipya tena kwa taifa kupitia tiketi ya chama dola kongwe CCM
Hivyo ni muhimu chama kumpendekeza mtu mpya kwa tiketi ya CCM kuwania urais Oktoba 2025 na rais Samia Hassan apumzike baada ya kusimamia mchakato wa kupatikana mgombea wa chama nafasu ya urais Oktoba 2025
Rais Samia Hassan ni zao la awamu ya tano iliyoanza 2015 na inafika tamati 2025. Balozi Polepole anasisitiza utamaduni na desturi wa CCM kutengeneza brand mpya ya uongozi unataka rais Samia Hassan asigombee Oktoba 2025 ili chama kiweze kuja kwa mwenekano mpya baada ya awamu ya 5 iliyohudumu 2015 - 2025.