IKEKERA
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 1,366
- 1,728
Yako mengi sana siwezi kuyataja hapa..ila muhimu mama ni mpaka 2030 mtake msitakeJadili hili suala bila kuweka mihemko.
Mfano Mama Samia amekuwa Vice President kwa miaka 6 na Rais kamili kwa miaka 4 ktk awamu hii inayomaliza muda wake mwaka huu 2025. Ni nini kipya atakifanya amvacho ameshindwa kukifanya kwa miaka 10 akiwa VP na Rais kamili? Hiki ni moja ya kigezo chama hukizingatia...