Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Huyu angeutafuta ubunge ili asije kupotea kisiasa. Akiendelea kukosa jukwaa rasmi atapotea mapema sana kwenye maisha haya ya kuwa mbele ya vipaza sauti.
Bwege ni wewe...T
Tofautisha hoja na vioja we bwege.
Absolutely, YES...!!Ukimtizama Humpfrey polepole, Pole Poole na taratiiibu kabisa... (kwa jicho la kiroho) the way anavyoongea, facial expression yake!,boldness yake...UNATAMBUA YA KWAMBA THIS GUY... KNOWS EXACTLY WHAT'S COMING!
Muda utaongea!
Yajayo...yanafurahisha!.
Hana hoja kwa kifupi anaumia sana kumuona Samia akielekea kuanza ngwe yake ya pili.Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!!
Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada ya rais kufariki ,kwa utaratibu wa chama imara kama CCM ,ilitakiwa kuwepo utaratibu wa kutia Nia Yani kuomba kugombea kwa tiketi ya chama kwa kuomba udhamini nchi nzima. Sasa ni kama katiba imempa automatically rais aliyepo madarakani uhalali wa kugombea bila kufuata utaratibu wa chama. Hilo lipo hata kwa vyama vingine vya siasa.utasikia mtu anajitangaza kuwa nitagombea uraisi.
Nafikiri Sasa CCM ibadiri utaratibu kwamba wadhamini wa mgombea uraisi itakuwa ni kamati kuu na siyo wananchi ( wanachama wa kawaida pengine na wenye nyadhifa) .Lakini tuwe na tafadhali sana.kuna hatari ya kutengeneza kundi au ukoo Fulani wa kuwa na nguvu ya kupeana uogonzi kwa njia ya kihuni na kidigiteta kama vile Rwanda,Urusi,Iran,na mataifa mengine ya kihuni!!
Kumbe Sasa baada ya October 2025 ,kama yanayotokea Sasa ni uchakavu wa katiba ya 1977,hatuna budi kuharakisha mchato wa katiba mpya ya JMT.kwenye katiba mpya tusirihisu kamwe makamu wa rais kuchukua madaraka ya uraisi kwa muda mrefu baada ya rais kufariki Dunia!!
kwako umeona kuna nondo tu pole mbona utoto tupu kwanini iyo Services anapendekeza iyanzie awamu ya 6 ¿Duh nondo tupu
Mama yenu si ana intelenjia...?Huyo nguchiro mwambie ajitokeze huko shimoni alikojificha.
Samia hadi 2035
kwako umeona kuna nondo tu pole mbona utoto tupu kwanini iyo Services anapendekeza iyanzie awamu ya 6 ¿Duh nondo tupu
Muondoe na naibu waziriKwa upepo huu nafikiri Makamu wa Rais asiwe na nafasi hata ya kurithi nafasi ya Urais pale Rais aliyepo madarakani anapofariki, Makamu wa Rais aendelee na nafasi yake na kuwe na kipindi kifupi cha mpito cha kupata Rais mpya atakayechaguliwa na Wananchi.
Rais hawezi kupatikana kwa kurithi. Never na ni risky kwa Rais aliyepo madarakani kuweza kuwa na mrithi ambaye hajachaguliwa na wananchi.
Jk anahakikisha mtu wake anapenya kwa namna yoyote Ile...Hatoshi kuwa Rais kwa awamu nyingine.
Miaka aliyohudumu katika hiko kiti ameonyesha viatu vimempwaya na Hana uwezo Wala maono ya kuiongoza nchi hii na kutufikisha kule WATZ tunataka.
Akalee wajukuu sasa.
😁😁😁😁SSH huyu mtu kwakweli hakubaliki hata na sisimizi
Kinachonishangaza kwanini toka January ndio ajitokeze leo huoni hili linaweza kuwa harakati za kuifubaza NRNE ya chadema? Nawaza tu lknMkuu ambao wana hoja za msingi ni wapinzani tu kutaka mabadiliko ya Sheria za uchaguzi japo kidogo....ila hyo Mr Slow slow Hana hoja yyte.....Kuna watu alitegemea wawepo pale juu baada ya 2025 ili yy aweze kurudi kule jikoni...fuatilia tangu press yake ya kwanza...kuteuliwa kwke ubalozi alishaona kama ametupwa....sasa walinoa mapanga wakawa wanasubiri 2025 ifike hekaheka za uchaguzi zianze wapindue meza kwny kupata mgombea wa urais...ila Saigon na kundi lake walishanusa hyo hatari...wakabutua buyu Ile January kwa kulazimisha mama aendelee...hii imewastua sana ile kambi ya kina Slowslow maana wanajua kinachofata baada ya hapa.....mama akipita hapa miaka mitano ijayo itakuwa ni kung'oa masalia yte ya mwendazake na hapa ndo ugomvi mkubwa ulipo....hii vita ni ya kijani vs kijani....nashangaa sana watu kuishadadia bila kuona uhalisia wa mambo waziwazi kqbisa
Acha kumsingizia,mimi nipo wala siyo yeye.Mnafiki na msaliti mkubwa sana Polepole..!! Hana la maana, hana uhalali wa kusema eti Mh. Rais Samia asigombee
NRNE...kama unaifuatilia vzuri unaona kabisa inajaribu kubaki ila Kuna vitu vinaivuta nyuma...kesi ya chairman...kesi ya chama kule mahakama kuu....zuio la kufanya mikutano....na nilipata kuona sehemu pahala wanasema usiposaini yale maadili ya uchaguzi basi wakati wakampeni pia hutarihusiwa kufanya mikutano....sasa unaona kabisa kete zimesukumwa....Slowslow amesoma mchezo kaona adui aliyekuwa amebaki ni mmoja tu naye ni kambi ya muendazake na ndo hyo itafata kushughulikiwa....kuanzia November....anaowaita wahuni ndo watakuwa in total control kuanzia hapo na hakuna rangi ataacha kuonaKinachonishangaza kwanini toka January ndio ajitokeze leo huoni hili linaweza kuwa harakati za kuifubaza NRNE ya chadema? Nawaza tu lkn
Ngoja tuone ila namuona huyo slow slow akirejea chamani kwa moto mpya baada ya kukamilisha mission yake the same to gwaji boy and the likesNRNE...kama unaifuatilia vzuri unaona kabisa inajaribu kubaki ila Kuna vitu vinaivuta nyuma...kesi ya chairman...kesi ya chama kule mahakama kuu....zuio la kufanya mikutano....na nilipata kuona sehemu pahala wanasema usiposaini yale maadili ya uchaguzi basi wakati wakampeni pia hutarihusiwa kufanya mikutano....sasa unaona kabisa kete zimesukumwa....Slowslow amesoma mchezo kaona adui aliyekuwa amebaki ni mmoja tu naye ni kambi ya muendazake na ndo hyo itafata kushughulikiwa....kuanzia November....anaowaita wahuni ndo watakuwa in total control kuanzia hapo na hakuna rangi ataacha kuona
na wewe unauliza kama nani?Anataka yeye kama nani?! 🐼