Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

Polepole aambiwe meli ya CCM ya urais ishang'oa nanga na yeye ameachwa, mabadiliko ni kwenye ubunge
Hiyo itakuwa ni meli ya huko kwenu; hapa Tanzania ndio kwanza kumepambazuka!
 
Chuki Sababu ya dini tu,
Polepole anajichanganya anaposema CCM ina utaratibu wa kumwaga oili. Waziri Mkuu pekee aliyekaa miaka 10 na Raisi wake ni Sumaye. Mosi, Mwinyi alikuwa Makamu akawa Rais, si oili. Ila Warioba alifukuzwa Umakamu na Rais Mwinyi kwa fagio la chuma, hakumwagiwa oili. Samia aliingia kwa tukio maalumu, si kumwaga oili. Ni upumbavu usio kikomo kudhani wewe una akili kuliko Katiba na mapenzi ya mamilioni ya Watanzania.

Tabu ya Polepole ni Serkali 3 sijui aliahidiwa nini na CUF ya Waarabu (siku hizo) tangu Tume ya Warioba. Ni mabaki ya juhudi ovu za kuvuruga Muungano yalizimwa kwenye Tume ya Warioba kwa juhudi za Rais Kikwete, Askofu Pengo, na Professor Shivji, zikapata baraka za Bunge la Katiba. Kuona wamenyukwa ajendacyao kuu, CHADEMA na CUF yao ya Waarabu wakijitoa.

Hana jipya, bora angesisitiza ukatiba kwa sababu hata Chama hajui undani wake kuliko akina Nape na Kikwete na Nchimbi. Kaongeza na Spika sijui kaitia wapi - Mang'enya na Adam Sapi na Sam Sitta na Ndugai hawana pattern yoyote ya oili.

Na kwa nini yuko mafichoni? Si yuko Las Vegas Marekani anatuchezea mitandao tu? Hivi ni kweli alijiuzulu Cuba au aliona awawahi kabla hawajamfukuza na kumrudisha nyumbani?
 
Acha kufichia madhaifu ya kwenye dini? Dini isitumike kama kinga ya mtu kutosemwa Magufuli alikuepo alikula spana mpaka mwenyewe akatamka natamani nifungie mitandao sababu ya spana clips zake zipo anatamani mailka washuke wazime mitandao ukikubali kua Rais Utakula Spana tu hata akiingia Lissu spana tu
Chuki zenu saba bu ya dini ya samia
 
Kwa upepo huu nafikiri Makamu wa Rais asiwe na nafasi hata ya kurithi nafasi ya Urais pale Rais aliyepo madarakani anapofariki, Makamu wa Rais aendelee na nafasi yake na kuwe na kipindi kifupi cha mpito cha kupata Rais mpya atakayechaguliwa na Wananchi.

Rais hawezi kupatikana kwa kurithi. Never na ni risky kwa Rais aliyepo madarakani kuweza kuwa na mrithi ambaye hajachaguliwa na wananchi.
All in all katiba ya Tz ni cancer inapaswa kupigwa chini yote
 
Wewe ni Mtanganyika au Mzanzibari...?

Hizi ni kauli za Wazanzibari ambao wametufanya Watanganyika manamba wao...
Anaonekana ni mtu mwenye stress sana hata kuandika kwake, 😂😂😂 kanywonge kafe kwa kosa gani? Ukiona mtu anapenda shortcut ujue Kuna tatizo kwa nini waliamua kupita shortcut kupata Mgombea na huyu anataka shortcut ya kunyonga kuna tatizo
 
NRNE...kama unaifuatilia vzuri unaona kabisa inajaribu kubaki ila Kuna vitu vinaivuta nyuma...kesi ya chairman...kesi ya chama kule mahakama kuu....zuio la kufanya mikutano....na nilipata kuona sehemu pahala wanasema usiposaini yale maadili ya uchaguzi basi wakati wakampeni pia hutarihusiwa kufanya mikutano....sasa unaona kabisa kete zimesukumwa....Slowslow amesoma mchezo kaona adui aliyekuwa amebaki ni mmoja tu naye ni kambi ya muendazake na ndo hyo itafata kushughulikiwa....kuanzia November....anaowaita wahuni ndo watakuwa in total control kuanzia hapo na hakuna rangi ataacha kuona
Lakini doto Biteko ni mwendazake mbona yuko vizuri nao
 
Kwa upepo huu nafikiri Makamu wa Rais asiwe na nafasi hata ya kurithi nafasi ya Urais pale Rais aliyepo madarakani anapofariki, Makamu wa Rais aendelee na nafasi yake na kuwe na kipindi kifupi cha mpito cha kupata Rais mpya atakayechaguliwa na Wananchi.

Rais hawezi kupatikana kwa kurithi. Never na ni risky kwa Rais aliyepo madarakani kuweza kuwa na mrithi ambaye hajachaguliwa na wananchi.
Hii ndio sahihi.
 
Nimeisikiliza kwa makini sana... Kuna kitu kikubwa sana kinaendelea nyuma ya pazia..
Hakuna cha nyuma ya pazia au Brauzi mwenyekiti wa chama CCM ni Amirijeshi Mkuu ni kisiki kweli kweli na Nyuma yake yuko Master Mind mwenyewe
 
Acha kufichia madhaifu ya kwenye dini? Dini isitumike kama kinga ya mtu kutosemwa Magufuli alikuepo alikula spana mpaka mwenyewe akatamka natamani nifungie mitandao sababu ya spana clips zake zipo anatamani mailka washuke wazime mitandao ukikubali kua Rais Utakula Spana tu hata akiingia Lissu spana tu
Polepole na genge lake watulipe bando zetu zilizopotea kwa kutufungia mitandao baada ya UCHAFUZI WA 2020!
 
Polepole ahamie chama kingine ili awe huru kutoa maoni yake. Kutoboa mtumbwi anaosafiria hataweza.
 

Attachments

  • IMG_20220315_171055.jpg
    IMG_20220315_171055.jpg
    88.6 KB · Views: 15
Lakini doto Biteko ni mwendazake mbona yuko vizuri nao
Inaonekana anajua kulicheza game....si mtu anayeonyesha tamaa fulanifulani hadharani...ingawa wanasiasa wte ni walewale tu....hyu Slow slow yy ukisikiliza press zake zte ni wazi anaonesha Kuna matarajio fulani alikuwa nayo ila kadri zinavyozidi kusonga anaona kabisa yanaenda mbali naye kabisa....atapigana na mfumo mpk apate anachokihitaji ..ila sasa je atakipata??
 
Back
Top Bottom