Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

Polepole aambiwe meli ya CCM ya urais ishang'oa nanga na yeye ameachwa, mabadiliko ni kwenye ubunge
Hatoshi kuwa Rais kwa awamu nyingine.

Miaka aliyohudumu katika hiko kiti ameonyesha viatu vimempwaya na Hana uwezo Wala maono ya kuiongoza nchi hii na kutufikisha kule WATZ tunataka.

Akalee wajukuu sasa.
 
Mama tunae mpaka 2030...polepole na genge lake ni muda sasa na wao wanywe kikombe cha shubiri kwa miaka mitano ijayo...
Ujiajiri na wewe kama ulivyokuwa ukitushauri kipindi ukiwa msemaji wa chama
 
Samia alikuwa anamshikia marehemu, awamu ya marehemu imeisha na yeye ki kanuni na taratibu za chama chetu hawezi kugombea Urais sababu alikuwa sehemu ya uongozi wa katika awamu ya tano.
 
Hana habari kama Katiba ya CCM inafanyiwa marekebisho ili kumsafishia njia Maza?
Asikose leo Mkutano Mkuu online..
 
Samia alikuwa anamshikia marehemu, awamu ya marehemu imeisha na yeye ki kanuni na taratibu za chama chetu hawezi kugombea Urais sababu alikuwa sehemu ya uongozi wa katika awamu ya tano.
kanuni zenu zinaeleza wapi makamu akishika uraisi --- nini kinafata baadae ?
 
Pole pole amechangangikiwa genge lake la kimaguli kimagufuli kifyekelewa mbali. Mi nashauri haka kabwana wakanyonge mpaka kufa
 
Mama tunae mpaka 2030...polepole na genge lake ni muda sasa na wao wanywe kikombe cha shubiri kwa miaka mitano ijayo...
Ujiajiri na wewe kama ulivyokuwa ukitushauri kipindi ukiwa msemaji wa chama
Jadili hili suala bila kuweka mihemko.

Mfano Mama Samia amekuwa Vice President kwa miaka 6 na Rais kamili kwa miaka 4 ktk awamu hii inayomaliza muda wake mwaka huu 2025. Ni nini kipya atakifanya amvacho ameshindwa kukifanya kwa miaka 10 akiwa VP na Rais kamili? Hiki ni moja ya kigezo chama hukizingatia...
 
Chuki Sababu ya dini tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…