Yako mengi sana siwezi kuyataja hapa..ila muhimu mama ni mpaka 2030 mtake msitakeJadili hili suala bila kuweka mihemko.
Mfano Mama Samia amekuwa Vice President kwa miaka 6 na Rais kamili kwa miaka 4 ktk awamu hii inayomaliza muda wake mwaka huu 2025. Ni nini kipya atakifanya amvacho ameshindwa kukifanya kwa miaka 10 akiwa VP na Rais kamili? Hiki ni moja ya kigezo chama hukizingatia...
Chuki zenu saba bu ya dini ya samiahuyu bibi ni pumbavu, kachapa kumi
sita -makamu, nne - urais, bado anataka mitano huku akijichagulia makamu ety Nchimbi.
Yani hakuna Mwanaume wakuleta mabadili tukomae na huyo bibi kizee asieweza kufikiri ki artificial intelligence 🚮🚮
Samia hadi 2035Yako mengi sana siwezi kuyataja hapa..ila muhimu mama ni mpaka 2030 mtake msitake
Kichwa chako unakitumia kufugia nywele Tu.Chuki zenu saba bu ya dini ya samia
Ww ni msukuma wa wapi?#sogoso?Kichwa chako unakitumia kufugia nywele Tu.
Acha mihemko, weka utoto pembeni. Jibu hoja kama mtu anayejitambua. Dont just pull the plug, niggar.Yako mengi sana siwezi kuyataja hapa..ila muhimu mama ni mpaka 2030 mtake msitake
Ni wapi katiba ya nchi imekataza mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu au makamu wa Rais asiwe Rais? Hii mambo ya kupewa urais ndiyo msingi wa no reforms, no elections. Tunataka watu wachaguliwe, sio wapeweHakuna makamu wala waziri mkuu aliyewahi kupewa Urais wa nchi, leo kikwete aje kuturubuni tuongozwe tena na Form four failer wake, Seriously ??????
Madam huna akili, hiyo 2020 ni wajumbe nchi nzima
Unaumia ukiwa wapi mkuu naona umesema kwa uchungu sanaMadam huna akili, hiyo 2020 ni wajumbe nchi nzima
Na hyo 2025 ni wajumbe kwenye maeneo yao.
OCTOBER TUNATIKI ✅ TAREHE TAYARI
Nilikuwa Nampa Elimu kuwa OCTOBER TUNATIKIUnaumia ukiwa wapi mkuu naona umesema kwa uchungu sana
Thibitisha unafiki wake....Mnafiki na msaliti mkubwa sana Polepole..!! Hana la maana, hana uhalali wa kusema eti Mh. Rais Samia asigombee
Huyo nguchiro mwambie ajitokeze huko shimoni alikojificha.
Mkuu ambao wana hoja za msingi ni wapinzani tu kutaka mabadiliko ya Sheria za uchaguzi japo kidogo....ila hyo Mr Slow slow Hana hoja yyte.....Kuna watu alitegemea wawepo pale juu baada ya 2025 ili yy aweze kurudi kule jikoni...fuatilia tangu press yake ya kwanza...kuteuliwa kwke ubalozi alishaona kama ametupwa....sasa walinoa mapanga wakawa wanasubiri 2025 ifike hekaheka za uchaguzi zianze wapindue meza kwny kupata mgombea wa urais...ila Saigon na kundi lake walishanusa hyo hatari...wakabutua buyu Ile January kwa kulazimisha mama aendelee...hii imewastua sana ile kambi ya kina Slowslow maana wanajua kinachofata baada ya hapa.....mama akipita hapa miaka mitano ijayo itakuwa ni kung'oa masalia yte ya mwendazake na hapa ndo ugomvi mkubwa ulipo....hii vita ni ya kijani vs kijani....nashangaa sana watu kuishadadia bila kuona uhalisia wa mambo waziwazi kqbisaMimi fikra zangu ni tofauti kidogo japo sina uhakika
Ninachoona mimi akiteuliwa mwingine itabidi akae kwenye kiti miaka 10 ambae kwa desturi za ccm anatakiwa awe muislam ( kwa kuangalia trend za uongozi uliopita) maana kipindi kilichopita ni cha mkiristo
Sasa nadhani hapo ndipo wanapopigana vikumbo kuwa aliekuwepo(muislam) aongezwe mitano ili aje mkiristo au achaguliwe mwingine (muislam) akimbize miaka 10 mingine ambayo kwa ujumla Muslim watakuwa wamekalia kiti kwa miaka 14 mfululizo
Ni maono tu sio uhalisia
Kikubwa zaidi ni RAIA WA NCHI JIRANI IITWAYO ZANZIBAR...Huyu mama apumzike buana kwenye uongozi wake dosari zimejaa sana kama miaka minne watu wamemchukia ,je ikifikia miaka mingine tena ? 😢
Tofautisha hoja na vioja we bwege. Nyie mahasidi hamuwezi kumzuia Samia ni mpango wa Mungu, huyo mbwa koko anayejificha mwambieni huyo mgombea wake aendelee kumhifadhi mpk 2030. Wahasidi hawajawahi kushinda, Samia ameifanyia hii nchi mambo makubwa kwa muda mfupi, hao vibwengo hatuwahitaji.Thibitisha unafiki wake....
Thibitisha kutokuwa na maana kwake...
Na thibitisha kukosa uhalali kwa maoni na mtazamo wake huu...
Mwenzenu anatoa sababu kutetea hoja na msimamo wake. Lakini nyie ni kama vitoto vidogo vinavyokataa tu kwa kauli ya "sitaki" bila kueleza sababu yoyote...
Wewe unadhani ni kwanini apewe nafasi hiyo? Unataka wavunje kanuni na utamaduni wao kwa sababu ya mtu mmoja aitwaye Samia na genge lake la utekaji na mauaji..?
Hutaki chama chenu kifanye "service" ili kuwatupa nje wahuni...?
Wewe ni Mtanganyika au Mzanzibari...?Pole pole amechangangikiwa genge lake la kimaguli kimagufuli kifyekelewa mbali. Mi nashauri haka kabwana wakanyonge mpaka kufa