Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

T
Tofautisha hoja na vioja we bwege.
Bwege ni wewe...

Hoja yako ni ipi..?

Kwanini apewe nafasi hiyo tena...?

Unataka kuvunja kanuni, katiba, utamaduni na desturi ya CCM ili kumbeba mtu mmoja tu aitwaye Samia badala ya kuangalia maslahi ya chama na wanachama wake..?

Unadhani kwa ku - force Jezebel awe mgombea wenu wa u - Rais wewe utashinda hata udiwani au ubunge huko kwenu Meatu au Maswa...?

Don't be stupid. Jiongeze..
 
Ukimtizama Humpfrey polepole, Pole Poole na taratiiibu kabisa... (kwa jicho la kiroho) the way anavyoongea, facial expression yake!,boldness yake...UNATAMBUA YA KWAMBA THIS GUY... KNOWS EXACTLY WHAT'S COMING!

Muda utaongea!
Yajayo...yanafurahisha!.
Absolutely, YES...!!

They can do everything they can to try forcing their will...

But the writings are on the wall reading "I HAVE REJECTED HER..."
 
Hana hoja kwa kifupi anaumia sana kumuona Samia akielekea kuanza ngwe yake ya pili.

Samia asingeweza kuanza kufunga safari upya ya kutafuta udhamini nchi nzima wakati ni mwezi March nchi inatakiwa iwe na kiongozi mpya wa haraka.

Samia akiwa mtendaji mkuu wa serikali kafanya mengi ndani ya miaka minne kwa wananchi wa nchi nzima na yanatosha kumdhamini.

Polepole ni sehemu ya mizengwe inayomchukia SSH, pamoja na hao wastaafu kina Warioba, Butiku, February, Mzee Malisa na Ndugai.
 
Duh nondo tupu
kwako umeona kuna nondo tu pole mbona utoto tupu kwanini iyo Services anapendekeza iyanzie awamu ya 6 ¿

kwann awamu y5 yeye alikuwa wapi kushauri jambo ili wakati alikuwa CCM kama kiongoz ¿

Leo ndio anajua kuwa ni zuri ili yupo nje ya Games ndio anashauri¿¿¿¿¿

Nondo wapi kaulizwa swali lengine kajibu lengine. Polepole omba ladhi bado mapema CCM ni kubwa sana wewe uwezi yumbusha Chama. Ata muwe maPolepole mia.
 
Huyo nguchiro mwambie ajitokeze huko shimoni alikojificha.
Mama yenu si ana intelenjia...?

Atume genge lake wakamteke...

Wewe Sangamwalogesha acha kuwa mjinga....!

Jaribu kutumia akili yako hata kidogo tu kufikiri vizuri kabla hujaandika ujinga wako humu...

Kama huyu mama angekuwa na full support ya TISS a.k.a Deep State unadhani Polepole angekuwa na protection hii aliyonayo pasipo kuwa amekamatwa na kuwa under detention sasa kwa kuwa "anam - challenge mama Jezebel..?"

I say it again. DON'T BE STUPID. USE YOUR HEAD TO THINK PROPERLY...!!
 
Duh nondo tupu
kwako umeona kuna nondo tu pole mbona utoto tupu kwanini iyo Services anapendekeza iyanzie awamu ya 6 ¿

kwann awamu y5 yeye alikuwa wapi kushauri jambo ili wakati alikuwa CCM kama kiongoz ¿

Leo ndio anajua kuwa ni zuri wkt yupo nje ya Games ndio anashauri¿¿¿¿¿

Nondo wapi kaulizwa swali lengine kajibu lengine. Polepole omba ladhi bado mapema CCM ni kubwa sana wewe uwezi yumbusha Chama. Ata muwe maPolepole mia
 
Muondoe na naibu waziri
 
Hatoshi kuwa Rais kwa awamu nyingine.

Miaka aliyohudumu katika hiko kiti ameonyesha viatu vimempwaya na Hana uwezo Wala maono ya kuiongoza nchi hii na kutufikisha kule WATZ tunataka.

Akalee wajukuu sasa.
Jk anahakikisha mtu wake anapenya kwa namna yoyote Ile...
 
Kinachonishangaza kwanini toka January ndio ajitokeze leo huoni hili linaweza kuwa harakati za kuifubaza NRNE ya chadema? Nawaza tu lkn
 
Kinachonishangaza kwanini toka January ndio ajitokeze leo huoni hili linaweza kuwa harakati za kuifubaza NRNE ya chadema? Nawaza tu lkn
NRNE...kama unaifuatilia vzuri unaona kabisa inajaribu kubaki ila Kuna vitu vinaivuta nyuma...kesi ya chairman...kesi ya chama kule mahakama kuu....zuio la kufanya mikutano....na nilipata kuona sehemu pahala wanasema usiposaini yale maadili ya uchaguzi basi wakati wakampeni pia hutarihusiwa kufanya mikutano....sasa unaona kabisa kete zimesukumwa....Slowslow amesoma mchezo kaona adui aliyekuwa amebaki ni mmoja tu naye ni kambi ya muendazake na ndo hyo itafata kushughulikiwa....kuanzia November....anaowaita wahuni ndo watakuwa in total control kuanzia hapo na hakuna rangi ataacha kuona
 
Ngoja tuone ila namuona huyo slow slow akirejea chamani kwa moto mpya baada ya kukamilisha mission yake the same to gwaji boy and the likes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…