Polepole anaongeza kuwa wafuatao hawawezi na hawafai kugombea urais kwa tiketi ya CCM 2025 kutokana na desturi pia tamaduni za kuhakikisha hakuna mtu anakuwa mkubwa kuliko chama hivyo kutishia uhai wa chama siku za usoni :Balozi Humphrey Herson Polepole anasema Rais Samia Hassan hana jipya tena kwa taifa kupitia tiketi ya chama dola kongwe CCM
Polepole is just like a foolish dog barks at a flying bird.
Huu mwaka huu asee ngoja tuone!!
Ngoja tuone😀😀Ngoja tuone ila namuona huyo slow slow akirejea chamani kwa moto mpya baada ya kukamilisha mission yake the same to gwaji boy and the likes
Mwenezi mstaafu.Anataka yeye kama nani?! 🐼
Pesa hana mkuu.Huyu angeutafuta ubunge ili asije kupotea kisiasa. Akiendelea kukosa jukwaa rasmi atapotea mapema sana kwenye maisha haya ya kuwa mbele ya vipaza sauti.
Atasahaulika kama upepo wa pwaniPesa hana mkuu.
Ndio mana kakiwasha
kaja kushtuka asubui kuwa alikuwa Mbunge kabla kuteuliwa kuwa Balozi Malawi
sasa wenzie wamepata kiinua mgongo chao japo wanaweza kukusanya kijiji wakapokewa kishujaa
yeye kajikuta yupo O
kuvumilia kashindwa baada watu wabaya kumjaza maneno
kawaida vijana Chadema yoyote akitoka CCM na kutoa povu wao wanamshangilia kwanguvu zote
Polepole alitakiwa kubaki na Iman yake ya kuu kwa kiongoz wake.. jamaa kaingizwa chaka.
Wakati mwingine Polepole anakosea, ukisimama katika HAKI. Mimi nadhani Kugombea kwa Samia SH siyo tatizo kwa mujibu wa katiba ya JMT,-1977 na hata ya CCM yenyewe. Tatizo kubwa ni moja samia hataki ushindani sawa kwa wagombe wengine iwe ndani ya CCM au ndani ya JMT. Anatwaa kwa nguvu madaraka!Samia alikuwa anamshikia marehemu, awamu ya marehemu imeisha na yeye ki kanuni na taratibu za chama chetu hawezi kugombea Urais sababu alikuwa sehemu ya uongozi wa katika awamu ya tano.
Imemkata 😆😁
Polepole alikuwa na nafasi ya kufanya mchakato na kuipata katiba hiyo mwaka 2015-2020. Uzuri, hii ni katiba ambayo yeye mwenyewe alishiriki kuitengeneza akiwa na Warioba. Ni shetani gani lilimpitia mpaka kwa miaka mitano hajasukuma kupatikana kwa katiba mpya?Kumbe Sasa baada ya October 2025 ,kama yanayotokea Sasa ni uchakavu wa katiba ya 1977,hatuna budi kuharakisha mchato wa katiba mpya ya JMT.kwenye katiba mpya tusirihisu kamwe makamu wa rais kuchukua madaraka ya uraisi kwa muda mrefu baada ya rais kufariki Dunia!!
Good interview!, good interviewer, good interviewee!
Mambo ya kuruhusu mchwa wale kwa urefu kwa kamba sio kabisa!Hatoshi kuwa Rais kwa awamu nyingine.
Miaka aliyohudumu katika hiko kiti ameonyesha viatu vimempwaya na Hana uwezo Wala maono ya kuiongoza nchi hii na kutufikisha kule WATZ tunataka.
Akalee wajukuu sasa.
Nimeisikiliza kwa makini sana... Kuna kitu kikubwa sana kinaendelea nyuma ya pazia..