Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Kweli siku hazifanani alikuwa anayakata mangoma ndani ya Ikulu., sasa anachukua nafasi ya Musiba
 
Ukipata hata like 1 kwa uzushi huu utakuwa umejitahidi sana.
 
Saa 6 hii hajaongea? Au naye hajui umuhimu wa muda kama wale jamaa zetu wa pande ile!
 
Activists stops at nothing !! Hiyo namba mbili haiwezekani kwake , labda namba 3 na 4 anaweza akafikiria ,!!
 
Wadau niko ndani ya daladala nasikia kuna mwanaccm mmoja amejivua uanachama.

Ni nani huyo?

Sabato njema!
 
hata uyo pole pole wenyewe pia sijawahi kumuona kama ilivyo kwa mungu
 
Huyu mtu ni mshenzi sana. Anavuna alichopanda. Wakati akiwa mjumbe wa Tume ya Katiba, ya Jaji Warioba alitulaghai sana na tukaamini kweti kwa timu ile katiba mpya tumepata. Akaja nunuliwa akawa siyo yule tena wa tume, hata kwa lugha, kwa moyo na ule uzalendo ukaisha kwa vipande vya fedha. Na zaidi akahongwa na madaraka ndani ya ccm na akawa na nguvu sana hata serikalini kupitia mdomo na kofia ya chama. Yeye na mwenzake Bashiru wakantisha sana Mh. JPM. na matokeo yake wakawa watu wa kuchongea wenzao na kupanga safu za uongizi watakavyo. Ghafla Maghufuli katwaliwa! Wakaweka pressure katiba ikiukwe ili SSH asiwe Rais, kakashindwa akawa na wakawekwa nje ya system. Leo wanavuna walichopanda, wanampiga ssh vijembe sana bila mafanikio, magufuli hayupo, hawana ushawishi wowote na wamechanganyikiwa.
Huyu tumpuuze kama ukoma huyu ni mchumia tumbo tu. Ale mabaki ya rushwa ya kutuharibia mchakato wa katiba, mengine ni kelele tu. Shenzi sana.
 
Activists stops at nothing !! Hiyo namba mbili haiwezekani kwake , labda namba 3 na 4 anaweza akafikiria ,!!
pia iyo namba 3 haiwezekani hata kidogo labda aanzishe chama chake....hakuna chama cha upinzani kitakachompokea yule.....tatizo dogo ni much know sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…