Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Mirija ipi ya ulaji?
Angekuwa na ukata angemudu kuendesha hivyo vipindi live?
Kwani bungeni mule anakaa bure?
Sema mnamchukia shauri aliwaweka benchi upinzani, wala hamna lolote!
Kwani wapi umeona nimeandika upinzani? Kwani kila anaye mkosoa polepole ni mpinzani? Uko shule mlikwenda kusomea ujinga.
 
Hi guys. Hope mnado poa.

Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2...
Je, ataongea masuala ya chama? Kama ndiyo, kwa capacity ipi?

Hivi pana tofauti gani kati ya Polepole na ZZK? Hawa wawili ni identical kwa tabia zao na instinct (pattern of behaviour in response to certain stimuli).

Star Tv imuandalie kipindi lakini apewe Edwin Odemba na siyo mtangazaji mwingine.
 
Huyu alikuwa na uwezo wa kumpigia simu Jafo, Sirro na maofisa wengine wajieleze kwenye kipindi cha Papo kwa Papo.
At some point nadhani alidhani yeye ni deputy president (above the VP).

Huenda hata mwendazake aliona jamaa kapandisha mabega na njia mojawapo ya kuyatrim ilikuwa kumtupia bungeni
 
Hahahaaa... katazame V-8 ya kijani utajuwa PLPL ni nani.
huuhuuhuu...!! mbona mnamtukuza sana uyo pole pole as if yeye ni mungu? yaan kale ka cheo ka usemaji wa chama nyie ndio mna muona kama mungu wenu? aibu juu yenu wooote mnayemtukuza pole pole na kumuona mungu mtu
 
1639210582430.png
 
Darby itamfunika kwenye media promo, amefanya wrong timing ya kuaddress Media. Meneja wake hajui kusoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom