Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Upinzani msikubali kabisa kumpokea huyu kenge maji ktk vyama vyenu! hafai hata chembe!
Hili ni gunia la misumari kamwe msilibebe
Siasa haziwagi hivyo.

Raila leo ana ushirika na KANU (kupitia Jubilee) ambayo ilimtesa yeye na kizazi cha babake. Utawala wa mkono wa chuma wa Moi kupitia KANU uliwahi kumtesa Raila kuliko kiongozi yeyote wa upinzani EAC labda na Afrika.

Hata mateso ya Mandela kule Roben Island hayafikii ya Raila labda Guantanamo Bay.

Raila aliwahipigwa na vikosi kama mbwa-koko-kichaa na kumsababishia majeraha yasiyofaa kuangalia na kutupwa kwenye chumba chenye maji ya chumvi na pilipili vilivyokolezwa akingali na vidonda vibichi, na maji yakajazwa kwenye saizi ya shingo yake kwa siku tisa huku chakula akichanganyiwa na kinyesi, lakini alikula kinyesi na alipotoka huko kauli yake ilibaki ileile kwamba KANU lazima iondoke hata kwa gharama na kafara ya roho yake.

Kakake Dr. Oburu Oginga akiwa Jasusi wa KGB Urusi alipopata habari hizi, alimpa Rais Moi saa 24 tu kumuachia Raila huru kinyume chake Russian Fighter Jets zitatua Ikulu ya Kenya kumung'oa Moi na KANU yake.

Enzi hizo kulikuwa na vita baridi kali ambapo Kenya ilikuwa upande wa Magharibi hivyo Urusi ilikuwa tayari kumtumia Jasusi Dr. Oburu Oginga kubomoa kambi ya Ubeberu Kenya na kupandikiza Ucommunist. Ultimatum ya Jasusi Dr. Oburu Oginga ilimtisha Moi na US, akatangaza kumuachia huru Raila.


Kulia ni Jasusi Dr. Oburu Oginga na mdogo wake Raila Odinga, chini ni Jaramogi Oginga Odinga (baba yao). Taswira kwa hisani ya google.




 
Hata picha ya PLPL hujawahi kuiona? Mungu najuwa hanaga picha!
na wala sijawahi kushawishika kuiona picha yake namskia tu kama ninavyoskia majina mengine ....kama vile kuku. mbwa. paka nk tena afadhali ya ivyo viumbe navijua lakin uyo sijui slow slow wala hata hapana taka jua iyo kitu
 

Channel 10 hawarushi live? Hata kwenye kile kipindi chake cha kuondoaga kero wamempuuza?
 
polepole ndio nani?
Mkuu hii comment nishaita fundi Maiko, aitengenezee frame, ni comment bora 2021.

Who the efff is Polepole kwenye nchi hii??
Anatafuta kick, publicity, kujikweza kwa nguvu, aje na hesabu zake za magazijuto za 1.5T..

Everyday is Saturday................................😎
 
Polepole popote ulipo, U R A NOBODY, huna tofauti na gunia la viazi Mabibo au ndizi, hakuna anayejali zimetoka wapi za nani! Wananunua kutumia.

Polepole once upon a time, ujue wewe ni wa hapo zamani za kale. Huingia hata kwenye kundi la ya kale dhahabu.

Hakuna mtu aweza kusema anakumisi huku uraiani,

Everyday is Saturday................................😎
 
Kama ni kweli basi impact yake itakuwa kubwa kiasi chake, PLPL is nobody fool, !! Some big fish behind the curtains !! Just guessing !
Who are the big fishes now in Tanzania other than those attended the 20th DD of former Brigadier General!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…