Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Hii habar umeipata wap
 
Ila kumsifia yule iblis ilikuwa sawa,acha kudhihirisha upumbavu www
 
Enzi za Jiwe hayo yote hamkuyajua?kafieni huko

Tulimkosoa alipokosea, kumpongeza alipofanikiwa, kumshauri, kutoa maoni kwa staha. Angalia jina langu thread enzi za jiwe tena kuhusu kodi bandarini, Airport, Wamachinga, kilimo, biashara, magereza, haki za msingi, uhuru wa maoni, wa JF.

Nchi yako inaangamia, inakufa, maisha yako yanazidi kuwa magumu, unachoweza kusema ni kafieni, wakati hata wewe, ndugu zako, nchi yako inakufa.

Just curious, Unajiita wa kupuliza, unapuliza nini, unapuliziwa nini?
 
Hahaaaa!!!!hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Uongozi wa Nchi chadema wanao kabla babu wa babu wa babu yako hajazaliwa huko nanjilinji ndanindani. Dikteta uchwara alijaribu akashindwa. Ni haki ya chama chochote( kikiwemo ccm) na kabila lolote (wakiwemo wasukuma) la nchi hi kushika madaraka yoyote ya nchi hii. Huna uwezo wowote wa kuwazuia chadema, wasukuma udp, wachaga au wangoni, waislamu, tlp, wakatoliki halali wa nchi hii, leo au kesho wee chawa promax. Maskini mkubwa wewe.
 
Mlidhani hizi sheria kandamizi za TCRA zitaishia kuwaumiza wapinzani peke yao??

"Wakimalizana na sisi watawageukia na nyie"
 
Upinzani wa kweli naona umeanza kutoka ndani ya CCM. chadema, polepole anawafanyia kazi yenu amkeni.
 
Hivi wahuni waliowabebesha wale wahuni waliokuwa wamebeba mabegi yaliyo jaa kwenye vituo vya kupigia kura 2020,walikuwa hawana hofu ya Mungu ?
 
Polepole anawawakilisha mazuzu wenzake kama wewe.
 
Mlidhani hizi sheria kandamizi za TCRA zitaishia kuwaumiza wapinzani peke yao??

"Wakimalizana na sisi watawageukia na nyie"
Wakumbushe hawa buku 7 maana huwa hawaelewi mpaka pale wanaponyimwa vyeo ndo wanapanua midomo inayonuka sababu ya kukalia kimya maovu kwa muda mrefu. Walidhani risasi atapigwa Tundu Lissu tu!! Ipo siku ya kila mtenda/ mshadidia maovu...itafika tu kama siyo leo ni kesho
 
Upinzani wa kweli naona umeanza kutoka ndani ya CCM. chadema, polepole anawafanyia kazi yenu amkeni.
Ccm kuna vita ya madaraka na siyo upinzani.

Dr Bashiru amekubali matokeo ila huyu sikoseli bado hajakubali kwamba mungu wao wa Chato kwisha habari yake, wenye betri yao wameshut down network.
 
Udumavu wa mwili huendana na Udumavu wa akili.
Atambue kwamba serikali inatembea mwendo ule ule wa awamu ya tano hivyo na yeye asibadili mwendo, atembembee vile vile alivokuwa akitembea mpuuzi huyu
 
Akili yake ni ya mlwa funza huko kaburini
 
Maisha yanakwenda kasi haya kutoka kuvuruga wapinzani,kuamrisha watendaji wa serikali via papo kwa papo,kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 huku akiringa kwa mbwembwe,Polepole ni wa kulalamika leo?
Ni vile tu kenge hasikiagi mpaka damu zitiririke masikioni lakin vinginevyo hili lingepaswa kuwa somo kubwa sana kwa lumumba pro max
 
Polepole asizungumz lolote walifuruga chma na watu na magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…