Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Ndugu zangu wenye pesa na vyeo, tujifunze kupitia tuliyo yaona, enzi za Magufuli huyu kijana alitamba sana, hakika nimejifunza mengi sana kupitia kifo cha Magufuli, Polepole leo ndiye wa kuitwa TCRA?????? Yaani enzi hizo alikuwa na uwezo wa kufanya chochote na asiulizwe wala kuhojiwa....dunia hadaaa...ulimwengu shujaa...
 
Kwani kwa ubunge wake alionao hawezi kuendeshwa kwenye Vieitee ??
Nitajuaje?? ni dalili za KIROBOTO kupewa VITZ siyo VIETE,

Everyday is Saturday................................😎
 
Pole pole hii ni mara ya tatu nakusihi, mlio karibu naye mumkumbushe umuhimu wa kunyamaza kimya, hebu akumbuke yaliyofanywa kwa Membe kama yalikuwa sahihi, na yeye alikuwa miongoni mwa watoa maamuzi. Zama zimepita atulie tuu.
 
Huyu ndiye alikua anaamua nani awe mbunge, kule kwetu japo mbunge wa Chadema alikua na nafasi kubwa lakini yule wa CCM aliyeshinda kura za maoni pia aliondolewa wakatuletea mbongo fleva.
EeeenHeeee! Pole sana.

Maana yake ni kwamba CCM wanawapenda sana watu wa huko. Wanajuwa ni viongozi bora kwenu kuliko nyinyi mnavyo watambua viongozi wanaowafaa nyinyi!

Lakini niseme ukweli, sio nyinyi peke yenu, hii ni karibu nchi nzima. Na maadam polisi wapo kuwashughulikia wale vihelehele kati yenu, mkubali tu maisha yaendelee kama kawaida.

CCM Idumu Milele!
 
Ndugu yangu Kalamu, Humphrey ni mwana CCM na kawa mwanaharakati kabla ya kuingia kwenye tume ya katiba.
Bila shaka anaifahamu vema nyumba ile na mifumo yake na ukizingatia kwa sasa sio mjumbe wa CC tena au NEC ambavyo ni vikao vikubwa vya maamuzi kwenye set-up ya CCM.

Maadam hajavunja sheria, acha azungumze na ukizingatia kuna hoja zina mashiko. Mathalani, kumekuwa na hoja ya deni la Taifa kuongezeka awamu ya 5.
Alieondoka na mkulu wa awamu ya 5; makamu wake kawa mkulu, na aliekuwa na dhamani ya ku-negotiate mikopo ndiye #2.
PM ni yuleyule.

Akiwabana "wenzie" kuhusu hoja ya mikopo as if aliokopa individual na aka-spen yeye individually wakati hawa walikuwa wasaidizi na sehemu ya awamu ya 5; hapo kuna hoja na majibu yake ni vema yakatolewa ili Watanzania tujue.

Amekuwa na hoja za crane za kubeba magati ya maji inalazimu kusubiri siku 400 (miezi 13) wakati aliekuwa waziri wa sekta aliemtangulia huyu wa sasa alikuwa na hoja kuwa maji ilitakiwa yaanze kujazwa ili umeme uwepo wa kutosha.

Acha mvua inyeshe ili tujue panapovuja ni wapi.

Enzi za Spika Sitta akiwa amekalia kiti na kukawa na mtifuano kwa maslahi ya taifa ni afya kuona kuna kuelezana ukweli ili kuwe kudai uwajibukaji.
 
Heshima mkuu.
 
Ukweli una tabia ya kujitenga na uongo ....

Ni suala la muda tu atavuna aliyokuwa amewapandia na kuwasaliti watanzania zama zile sababu ya boss wake.

Kama hoja hazijibiwi kwa rungu kwanini Tundu Lissu anaishi uhamishoni hadi leo?
 
Nakupuliza matter-call hayo mrembo.
 
Lakini Polepole hoja anazo...watu wanampinga lakini moyoni, wanamkubali..wamjibu kwa hoja
 
Nakupuliza matter-call hayo mrembo.
Right siku nyingine jaribu kuweka hoja muhimu zaidi ya hoja ya kitoto anayokupinga.

Utakuwa upande wa watu,Watanzania ni sio waseng.e. Sio kupuliziana wewe na wenzako katibu mkuu mwenezi wa CCM.
 
Punguza font size mkuu, michango yako mizuri ila haivutii kusoma
 
Right siku nyingine jaribu kuweka hoja muhimu zaidi ya hoja ya kitoto anayokupinga.

Utakuwa upande wa watu,Watanzania ni sio waseng.e. Sio kupuliziana wewe na wenzako katibu mkuu mwenezi wa CCM.
Mimi naenjoy kupuliza huo mzutu wako binti.Jitajidi kua muelewa kwny hili kigori.
 
Ukweli una tabia ya kujitenga na uongo ....

Ni suala la muda tu atavuna aliyokuwa amewapandia na kuwasaliti watanzania zama zile sababu ya boss wake.

Kama hoja hazijibiwi kwa rungu kwanini Tundu Lissu anaishi uhamishoni hadi leo?
Lisu kanogewa tu kwa amsterdam!

Mbaya wake alishafariki kwanini yeye asirudi?
 
Mimi naenjoy kupuliza huo mzutu wako binti.Jitajidi kua muelewa kwny hili kigori.
You are allright, nilijua uwezo wa kufikiri utakufikisha hapa. Jina lako ni kama akili yako.

Sasa mtu kama wewe na genge lako utakuwa kiongozi sahihi kwa Watanganyika?

Vipi inaweza kuwalinda watoto wetu, vijana wetu, kuwapa elimu sahihi, maadili, uaminifu, uadilifu kujiamini.
 
Haka kajamaa ni ka tapeli, ni ka seasonal politician. Wakati wa Mchakato wa Katiba kalikuwa kanisimamia itikadi za kupunguza ukiritimba wa chama kimoja, leo kinasema UJAMAA ni Imani. au hakijui ujamaa na siasa za chama kimoja ni chanda na pete?
 
EeeenHeeee!
Hivi hao waliondoka, au walichukua 'franchise' ya CCM na kuisambazanchi nzima.

Huoni wanaokataa kuwa kitawi cha CCM wanavyohangaishwa?

Wanaokataa kuwa tawi la CCM wanavyohangaishwa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Natamani ungeujua ukweli wa siasa za nyakati HiziπŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£
 
Amekwambia ana mpango wa kwenda kwenye nchi zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…