Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Kwa dhambi hii hata mimi huyo nilimtilia mashaka...Hayati alikuwa na dhamira ya dhati kwa nchi yake na alitaka kubadili system kabisa kuwaondoa mafisadi....wao waka pitiliza kwa ubabe huku wakiwa hawapo sawa kidhamira na mwenzao, mwenzao alikuwa anafanya ubabe ili wema upite wao walikuwa wanatumia ubabe wake kufanya vyao....Kuna vidada vingi vilipitishwa ubunge kila mmoja alikuwa anatamba yeye ndiye godfather wao...kwa hili hapa nipo mbali naye kabisa japo naamini kwa sasa atakuwa amejutia aliyoyafanya, but too late to catch the train...Uzalendo hauwi uzalendo pale unapokosa chakula cha tumbo lako...
Hao ndio alioambukiza UKIMWI? Maana tunaambiwa KOMREDI aliwachakaza kwer kweri warembo wa huko UVCCM.
 
Hujui unachoongea, umechanganyikiwa.

Ujumbe nzuri siku zote huwa Nipo pamoja na watu wenye msimamo sichanjwa

Hawa TCRA wanatatizo gani kutaka kulazimisha kampeni za Chanjo.
Mambo ya kisera hayo boss
Hakuna mahali walilazimishwa ioa kama nchi imeamua kuchanja na imewapa wananchi hiari si vema kusikia baadhi ya viongozi wa serikali wanaipinga serikali
 
Amsterdam anaishi Ubelgiji ?

Hujajibu swali la msingi nini sababu ya Lissu kupata political asylum Ubelgiji?
Yeyote wa upande ule akilijibu hilo swali kisawasawa basi ujuwe kavaa mabomu na sooner or later baada ya huo mkutano mkuu nxt year Inshaallah tutajuwa who is who huko kwao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio alioambukiza UKIMWI? Maana tunaambiwa KOMREDI aliwachakaza kwer kweri warembo wa huko UVCCM.
Komred ndiyo nani kwa mfano?
Hayo mi siyajui nafahamu tu kuna watu walikuwa wanatamba wao wameambiwa kuwa ndiyo mahususi, wengine ni wasindikizaji tu
 
Huyu ndiye alikua anaamua nani awe mbunge, kule kwetu japo mbunge wa Chadema alikua na nafasi kubwa lakini yule wa CCM aliyeshinda kura za maoni pia aliondolewa wakatuletea mbongo fleva.
Chadema hamna ata ofisi ya chama mnaijua vizuri chadema nyie.Lisu yuko ulaya mnajua atalishwa na kuvalishwa na nani nyie au ndo mnadandia tu vyama na kupelekea aman ya taifa letu matatani

Sent from my SM-T355Y using JamiiForums mobile app
 
kaisha gundua wenye chama wamerudi, kwamtu aliyefatilia kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..basiutajua fika kijana hanachake ccm. Pia watu aliowananga akishirikiana na bashiru walionekana wapo pamoja include membe, makamba na kinana. kongamano lilikuwa ,kuujulisha uma kuwa wazee wametoka mbali na chama chao.
Polepole karibu ulaiani mkuu, huku hakuna V8 kuna kutumia tz eleven

Sasa wewe uliyeandika hayo hichi chama mwl alikianzisha kiwe cha kundi la watu au watanzania wote.je watanzania wakiwaachia chama nyie hichi chama kitaendelea kuwepo au kitaishia hapo.mjitafakali

Sent from my SM-T355Y using JamiiForums mobile app
 
Mnafiki mkubwa huyo polepole wenu.analegeza pua hoja ujibiwa kwa hoja. mbona LISU mlimjibu kwa risasi?.
 
si tunamjua Chakubanga.

vipi vietee zimekauka au?
kiujumla kwa sasa jamaa hamtishi hata nzi.
Mkuu uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. Yaani threads zote humu tangu Jumamosi zinamzungumzia yeye halafu unasema hatishi hats nzi? TCRA wamemuitia nini?
 
Polepole ni mwanasiasa wa mlengo wa kushoto. Kwa nini TCRA wanafadhaika? Hakuna kipya anachosema Polepole. Hii ni siasa ya Tanzania ya miaka mingi.

Polepole amewaita watu wahuni. Lakini hiyo ni baada ya Membe kumuita Polepole mhuni,mcheza dansi. Ndipo Polepole akaanzisha Darasa la Uongozi,kipindi ambacho
kimepokelewa vizuri sana na raia. Vipi TCRA wanataka kumhoji?

Lazima tutazame ishara. Polepole anaongea kuhusu uwajibikaji wa viongozi.

Sasa wale wabunge wote ambao hatujazisikia sauti zao ndio wanaonekana wa maana.

Namna hii unaleta fujo katika nchi. Unagombana na mtu ambaye anatetea utawala bora. Ndiyo unavyosherehekea miaka sitini ya uhuru? Kusema "wakubwa"hawataki madhambi yao yafichuliwe. Kwa hiyo Polepole lazima asulubiwe.

Wakubwa ni nani? Wananchi tu ndio wakubwa.

Hakuna kitu kipya katika dialectics za Polepole. Haya mambo utayaona vile vile ukisoma Hegel au Fichte au Karl Marx.
 
Nmesoma hadi hapo uwajibikaji wa viongozi....huyu jamaa amewahi kuwa TOP FIGURE wa chama cha majambazi.,unakumbuka ndio alikuwaa mratibu mkuu wa SLAVE TRADE TO XXM??? KARMA IS A BITCH its a time for COLLAPSE OF MALI EMPIRE
 
Mkuu uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. Yaani threads zote humu tangu Jumamosi zinamzungumzia yeye halafu unasema hatishi hats nzi? TCRA wamemuitia nini?
We mwenye uwezo mkubwa una kipi cha ziada?
 
Back
Top Bottom