mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Alimaliza 93 na j.mnyikaTuondolee ubishi leo mlimaliza mwaka gani? Maana wengine wanadai Polepole amemaliza shule ya msingi miaka ya 80 mwanzoni.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimaliza 93 na j.mnyikaTuondolee ubishi leo mlimaliza mwaka gani? Maana wengine wanadai Polepole amemaliza shule ya msingi miaka ya 80 mwanzoni.
Hao ndio alioambukiza UKIMWI? Maana tunaambiwa KOMREDI aliwachakaza kwer kweri warembo wa huko UVCCM.Kwa dhambi hii hata mimi huyo nilimtilia mashaka...Hayati alikuwa na dhamira ya dhati kwa nchi yake na alitaka kubadili system kabisa kuwaondoa mafisadi....wao waka pitiliza kwa ubabe huku wakiwa hawapo sawa kidhamira na mwenzao, mwenzao alikuwa anafanya ubabe ili wema upite wao walikuwa wanatumia ubabe wake kufanya vyao....Kuna vidada vingi vilipitishwa ubunge kila mmoja alikuwa anatamba yeye ndiye godfather wao...kwa hili hapa nipo mbali naye kabisa japo naamini kwa sasa atakuwa amejutia aliyoyafanya, but too late to catch the train...Uzalendo hauwi uzalendo pale unapokosa chakula cha tumbo lako...
Kwa dhambi hii hata mimi huyo nilimtilia mashaka...Hayati alikuwa na dhamira ya dhati kwa nchi yake na alitaka kubadili system kabisa kuwaondoa mafisadi....wao waka pitiliza kwa ubabe huku wakiwa hawapo sawa kidhamira na mwenzao, mwenzao alikuwa anafanya ubabe ili wema upite wao walikuwa wanatumia ubabe wake kufanya vyao....Kuna vidada vingi vilipitishwa ubunge kila mmoja alikuwa anatamba yeye ndiye godfather wao...kwa hili hapa nipo mbali naye kabisa japo naamini kwa sasa atakuwa amejutia aliyoyafanya, but too late to catch the train...Uzalendo hauwi uzalendo pale unapokosa chakula cha tumbo lako...
ACT walikwenda na Membe. Umoja Party kauli mbiu "Hapa Kazi Tu."
Options zipo nyingi kuna TLP na kina Cheyo huko.
Ngoja tuone.
Mbunge wa viti maalumu vya wanawake, aah! eti wanawake, vya kuteuliwa!polepole ndio nani?
Amesema hakuna upinzani Tanzania
Ni kweli mkuu UshimenTutafika tu, lakini tutakua tumechoka sana....
Mambo ya kisera hayo bossUjumbe nzuri siku zote huwa Nipo pamoja na watu wenye msimamo sichanjwa
Hawa TCRA wanatatizo gani kutaka kulazimisha kampeni za Chanjo.
Amsterdam anaishi Ubelgiji ?Lisu kanogewa tu kwa amsterdam!
Mbaya wake alishafariki kwanini yeye asirudi?
Yeyote wa upande ule akilijibu hilo swali kisawasawa basi ujuwe kavaa mabomu na sooner or later baada ya huo mkutano mkuu nxt year Inshaallah tutajuwa who is who huko kwaoAmsterdam anaishi Ubelgiji ?
Hujajibu swali la msingi nini sababu ya Lissu kupata political asylum Ubelgiji?
Komred ndiyo nani kwa mfano?Hao ndio alioambukiza UKIMWI? Maana tunaambiwa KOMREDI aliwachakaza kwer kweri warembo wa huko UVCCM.
Chadema hamna ata ofisi ya chama mnaijua vizuri chadema nyie.Lisu yuko ulaya mnajua atalishwa na kuvalishwa na nani nyie au ndo mnadandia tu vyama na kupelekea aman ya taifa letu matataniHuyu ndiye alikua anaamua nani awe mbunge, kule kwetu japo mbunge wa Chadema alikua na nafasi kubwa lakini yule wa CCM aliyeshinda kura za maoni pia aliondolewa wakatuletea mbongo fleva.
Sasa wewe uliyeandika hayo hichi chama mwl alikianzisha kiwe cha kundi la watu au watanzania wote.je watanzania wakiwaachia chama nyie hichi chama kitaendelea kuwepo au kitaishia hapo.mjitafakalikaisha gundua wenye chama wamerudi, kwamtu aliyefatilia kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..basiutajua fika kijana hanachake ccm. Pia watu aliowananga akishirikiana na bashiru walionekana wapo pamoja include membe, makamba na kinana. kongamano lilikuwa ,kuujulisha uma kuwa wazee wametoka mbali na chama chao.
Polepole karibu ulaiani mkuu, huku hakuna V8 kuna kutumia tz eleven
Mkuu uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. Yaani threads zote humu tangu Jumamosi zinamzungumzia yeye halafu unasema hatishi hats nzi? TCRA wamemuitia nini?si tunamjua Chakubanga.
vipi vietee zimekauka au?
kiujumla kwa sasa jamaa hamtishi hata nzi.
We mwenye uwezo mkubwa una kipi cha ziada?Mkuu uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. Yaani threads zote humu tangu Jumamosi zinamzungumzia yeye halafu unasema hatishi hats nzi? TCRA wamemuitia nini?