Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

labda itakuwa ni saa tano usiku.
saa 5 usiku nan atamskiliza? yaan tuache kulala sisi na wake zetu tumsikilize yeye kajamba nani....uyo baba yake mwenyewe tu watu walikuwa hawamsikilizi mida iyo....hivi kweli nimuache yusrat wangu kwa ajili ya kumsikiliza bwege uyoooo?
 
huuhuuhuu...!! mbona mnamtukuza sana uyo pole pole as if yeye ni mungu? yaan kale ka cheo ka usemaji wa chama nyie ndio mna muona kama mungu wenu? aibu juu yenu wooote mnayemtukuza pole pole na kumuona mungu mtu
Vipi akikutupia chambo cha 20ml na tiketi ya Dubai na visa ya 10 dys na reservation ya 5 star hotel hivyo ulivyo na uchumi huu wa Covid-19 hutameza ndoano yake na kumuita mungu-wa-utatu kweli wewe ninavyokujuwa?
 
wakutukuzwa ni mungu pekee na sio uyo bwege......!!
 
Polepole umepozwa kama walivyofanyiwa jamaa wa mabakabaka wakaishia kutoa tamko lenye ujazo wa kisoda....hahahaha!
 
Tusubiri tuone labda ana kitu cha maana, katika siasa hakuna Adui wa kudumu wala Rafiki wa kudumu, after all hapa duniani tunapita tu !! NA KARMA IPO KUFANYA VITU VYAKE, !!
 
wakutukuzwa ni mungu pekee na sio uyo bwege......!!
Mkuu,
Unawezaje kumpenda mungu ambaye hujawahimuona ukaacha kumpenda mwanadamu unayemuona kila uchao? Anza na huyu mwanadamu PLPL kwanza. "Lazaro aliambiwa ndugu zako wasipowasikiliza niliowatuma kwao huko hata akienda mtu kutoka kuzimu hawatamsikiliza" Mkuu kubali kusikiliza ubwege wa PLPL.
 
saa 5 usiku nan atamskiliza? yaan tuache kulala sisi na wake zetu tumsikilize yeye kajamba nani....uyo baba yake mwenyewe tu watu walikuwa hawamsikilizi mida iyo....hivi kweli nimuache yusrat wangu kwa ajili ya kumsikiliza bwege uyoooo?
What if kama ukiamka asubuhi na kukuta magazeti yote front page (lead story na lead photo) ni PLPL na Mwenyekiti taifa wa chama chako wamekaa pamoja wakimpokea PLPL kwenye chama chenu je, utapishana naye wewe ukienda kijani? Hahahaaaaa siasa si-hasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…