Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Chawa umepuliziwa dawa ya rungu kiboko ya wadudu wanaoruka na wanaotambaa! 😂😂😂Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?
All in all Samia amejitahidi kupunguza mengi sema mijitu haioni na misahaulifu
Hujui lolote kuhusu uongozi wewe. Huwezi kuwa kwenye ma-deal machafu machafu yote halafu useme wewe ni mtoto wa mjini. By the way Polepole alitoa mfano wa Rostam kuonyesha kuwa Samia hafai...Sijatetea mtu hapo, mie nipo upande wa deal la kibiashara sababu mie ni mfanya biashara na najua ninachoongea hapa.
Hakuna cha kushangaza hapo ni kwamba majority ya watanzania ni vilaza na wanachojua ni ratiba ya simba na yanga tu
Hako ka-jamaa ni ka-hovyo kweli kweli. Kanaonekana ni hawa wapumbavu wanaofaidi kwenye huu utawala wa Samia ulijaa ufisadi halafu kanakuwa na nyodo.Chawa umepuliziwa dawa ya rungu kiboko ya wadudu wanaoruka na wanaotambaa! 😂😂😂
Jamaa ikitokea habari yoyote kuikosoa serikali atakuja mbio na kuanza kutetea huku akimtukana Magufuli.Hako ka-jamaa ni ka-hovyo kweli kweli. Kanaonekana ni hawa wapumbavu wanaofaidi kwenye huu utawala wa Samia ulijaa ufisadi halafu kanakuwa na nyodo.
Sawa Askofu Mwamakula 🥺Tatizo la kwanza, waislamu wana matatizo makubwa kiakili na kitabia..kila kunapokuwa na kiongozi muislamu mambo za namna hii znashamiri..na huwezi wasikia kabisa wakikemea uhuni km huu..!
Sijatetea mtu hapo, mie nipo upande wa deal la kibiashara sababu mie ni mfanya biashara na najua ninachoongea hapa.
Hakuna cha kushangaza hapo ni kwamba majority ya watanzania ni vilaza na wanachojua ni ratiba ya simba na yanga tu
Hata wewe ni chawa. Kila mmoja ni chawa kwa ule upande anaoamini, period. Usinikatishe tama kutoa mawazo yangu eti kwa vile ukiniita chawa nitakasirikaChawa umepuliziwa dawa ya rungu kiboko ya wadudu wanaoruka na wanaotambaa! 😂😂😂
Hii ni ya nini?Trillion 107 unaizungumziaje?
Nilianza kufuatilia michango yako tangu enzi za Jiwe, Una haki na Uhuru wa kuchangia ila kumbuka KARMA!Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?
All in all Samia amejitahidi kupunguza mengi sema mijitu haioni na misahaulifu
Ni mahari yakoHii ni ya nini?
..umerudi tena na ngonjera zako kutetea upuuzi wa rostam, hiyo michezo ya madeni bandia ili supplier ageuke mmiliki wa biashara danganya watoto..supplier anabaki kuwa supplier hana uwezo na maarifa kufanya biashara ya mwenye biashara!
sasa sis amewekeza....mimi kila siku nasema ngozi ya taa call tuna shida....waliomuuzia huyo roho sitamu ni ngozi ya taa call, huwezi kwenda kwa waarabu au wazungu hata uwe na hera vipiPolepole ameelezea jinsi Rostam alivyojitwalia Mgodi wa Makaa ya Mawe kwa bei chee (Bilioni 5 tu).
———
Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka Intra Energy Corp. mwaka 2021
Rostam alikuwa mwanahisa mwenye hisa nyingi katika kampuni ya TANCOAL, ambayo inaendesha mgodi wa Makaa ya Mawe wa NGAKA (mgodi mkubwa kuliko yote nchini)
Taifa Mining ilinunua hisa nyingi toka Intra Energy mwishoni mwa mwaka 2021 na hisa binafsi za Rostam ndani ya Taifa Group ziliwekwa bayana mwanzoni mwa mwezi Aprili 2025
Mbona unanijibu hovyo, wakati genuinely nilitaka kujua hii ni pesa ya nini?Ni mahari yako
HeheeeR.I.P ndugai ulijaribu kutusanua kwamba kuna siku hii nchi itapigwa mnada wahuni wakakuona umetibua wakakulisha sumu masikini ndugai
Hiyo ilikua zamani.. mtume Paulo alikuwa mnyang'anyi mwizi mwenye vurugu mbabikizaji wa kesi. Ila aliposikia Neno la Yesu kristu akaamini na akatubu amekuwa ni Mmoja ya nitumie.mfano wa kuigwa alieneza na kusambaza Neno la bwana Yesu kristo..Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Hata mm ni shangaa alikua barozi anakula mshahara eti kaacha kazi kutetea wa Tanzania sisi hawa ambao bado tume lala usingizi wa pono.Wabongo uwa wanapenda mtu awapambaninie kama anavyofanya chadema, lisu , polepole. Wenyewe kujisimamia hawawezi. Kuingia barabaran wameshindwa msituni wataweza
Ats viongoxi wakiuza nchi mbongo hawez kujisimamia. Polepole anapoteza muda wake. Kama alikua anazani akiongea ayo yte ata wahamasisha watanzania basi kakosea labda wakenya