Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

..rostam ni dalali hicho ndio unapaswa kujua..tunamjua toka anatumikia kampuni ya familia yao ikiitwa ATD.

hahahahaaha umefika huku tena, Hata wewe unaweza kuwa tycoon kama RA sio issue sana, ni issue ya risks, timing, connections, na muda.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
 
Hivi kijana wa kimujahadeen (mdogoye) ni wapi nimekuambia kuwa nina chuki na Muislam kuongoza hii nchi? Kwa akili yako hivi huoni hata haibu kutetea upuuzi aufanyao Mama Abdul kweli?
 
Uzuri alishaomba radhi kwa watanzania na kusema kuwa tugange yajayo. Kwa sasa ni mtu muhimu kwa raia kwa maana anatufunulia mengi tuliokuwa pengine hatuyafahamu.
 
Si huyu Rostam alikuwa rafiki wa Magufuli akamkaribisha hadi Ikulu na kumuachia huru kaka yake kwenye kashfa ya ufisadi.

Halafu Leo Hoi polepole kageuka kuwa shujaa.
Rostam is a crook. Alijaribu kuji camouflage kipindi cha Magufuli kuonesha kuwa amebadilika ili asibinywe pumbu.
 
Rubbish. Nyerere alipojengewa nyumba kubwa na JWTZ sliikayaa akisema kwani mie ni tembo? Rostam naye hivo hivo Nchi nimkubwa sana hawezi kuila yote ni kisingizio tu. Viwanda vya Sementi na NMB na TBL ni vikubwa zaidi viko kwa matajiri pia mbona Rostam hakupewa? Williamson Diamonds ni mpya, mbona ilishauzwa na wenyewe Rostam anaongiaje? Polepole kasoma nusunusu hajui international business practices hupitia Soko la hisa, awatafite De Beers na Russian oligopolists.
 
Bana kinyeo hicho wewe, bwa bwaaaa! Wahuni watapita nacho shauri yako
 
Akili yako iko kwenye mtandao wa simu.
 
Unakera sana. Bhasi tuu. Huna utofauti na vibakuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…